The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
We ni falaWazee kwema
Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅)
Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je ni wapi ambapo naweza kuwekeza na mchanganuo wake upoje?
Nawasilisha