Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Tia M-wekeza M5 utapata kila mweziAhsante kwa ushauri, je nao huwa wanatoa faida ya kila mwezi au ndo mpaka hiyo miaka mitano iishe ndo unaweza kuiona hela yako?
NB: hii faida ya kila mwezi nayoisemea hapa nataka iwe km mshahara fulani wa kila mwezi. Si unajua tena kwa sisi tusio kwenye ajira za serikali mambo huwa ni mengi