Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

Kijana fanya kazi acha kuota ndoto za mchana. Umesema zali la mentali baadae kwenye comment ukasema umepata machimboni..!! Are you an idiot or physch
Mkuu huyo jamaa yuko sawa ww ndo hujamwelewa sehemu za machimbo ukikutana na mali watu huita zali la mentali mfano mdogo mm nilikutana na zali la chenga ya mill 7 duniani hapo ni baada ya kuchapika chini huko lakini nikapatia duniani
Kijana fanya kazi acha kuota ndoto za mchana. Umesema zali la mentali baadae kwenye comment ukasema umepata machimboni..!! Are you an idiot or physcho?
 
Milioni 500 ya nyokwee😕😕😏😏😏😏
Kwa ambao hamjakaa sehemu za machimbo ni rahisi kubeza mm kwa ushuhuda wangu wa macho ya nyama nimeshuhudia watu wanaokota pisi ya mll 150,300 na mtu hajui kusoma Wala kuandika kwaio mll 500 sehemu za machimbo sio ajabu
 
Kuna bank sio lazima uweke miaka mingi, Akiba Bank hata mwaka unaweka wanakupa pia 13%.
Ni kweli anaweza weka Mwaka TU bila Shida ila miaka 5 ni Ushauri wangu tu kwamba akiweza kuwa lock in Equity kwa miaka 5 kwa interest ya 13% anakuwa na 5 years za kufanya Mipango ya Msingi na Kuizoea Hela yake.
 
Zilete hapa tuziombee ziongezeke idadi unayopenda kulingana na sadaka utakayotoa kwa malaika
 
Ni kweli anaweza weka Mwaka TU bila Shida ila miaka 5 ni Ushauri wangu tu kwamba akiweza kuwa lock in Equity kwa miaka 5 kwa interest ya 13% anakuwa na 5 years za kufanya Mipango ya Msingi na Kuizoea Hela yake.
Nimekuelewa Mkuu
 
Mmh! Hivi 500M humvui mtu kiwanja hata kwa 100M ukabaki na 400M,ukajenga gorofa hata ya flow 1 juu ukapangisha?au unataka faida kubwa sana usumbue mtaa.
 
Back
Top Bottom