Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

Nitakushauri kwa faida yako....
Nenda kwa broker ntakupa broker mzuri tu chukua hiyo hela igawe mara 6 kama milioni 80 kanunue treasures bond ila hakikisha unanunua Kila mwezi
Kwa miezi sita pambana mwambie broker ahakikishe coupon yako haipungui 15%

Utapata asilimia 15 ya hiyo hela yaani milioni 80 asilimia 15yake kwa kuwa bond wanalipa mara mbili kwa mwaka wataigawanya utapata karibia milioni 6 Kila mwezi kwa mwaka mzima na hela yako ipo pale pale...

Mm napokea 3.7m Kila mwezi na biashara zangu zinaendelea vizuri tu..
 
UTT ni UNIT TRUST OF TANZANIA.Huu ni mfuko wa uwekezaji wa Pamoja ambao unafanana na mifuko kama Vanguard wa huko USA.Katika Mfumo wa vipande Mwekezajia ananunua vipande ambavyo vinaweza kupanda au kushuka BEI kisha UTT wanawekeza kwenye BONDS,FIXED DEPOSIT,SOKO LA HISA etc.Issue ni kwamba hayo malipo ya kila mwezi kwenye UTT sio fixed inategemea na faida.
Okay kwahiyo ni ya uhakika? Maana nimeona hata baadhi ya nyuzi wameiongelea
 
Huu mwandiko na hili swali haviendani na mtu mwenye milioni 500. Na kama unayo kweli usipokuwa makini wewe ni njia hiyo 500M kuna sehemu inaenda.

Kuna jamaa aliishia darasa la saba nilimuona alilazimishwa kuuza shamba la miti akapata milioni kama 90 hivi hiyo ni kabla hajalipwa fidia ya ardhi. Alikuwa anauliza ushauri wa fedha kwa tone ambayo hata kama unaona hajui ila unaona yuko serious na swali lake na ana dukuduku, not joking.
Ni kama sijakupata vizuri lakini ahsante kwa mchango wako... Pengine nikitulia nitakuelewa
 
UTT ni UNIT TRUST OF TANZANIA.Huu ni mfuko wa uwekezaji wa Pamoja ambao unafanana na mifuko kama Vanguard wa huko USA.Katika Mfumo wa vipande Mwekezajia ananunua vipande ambavyo vinaweza kupanda au kushuka BEI kisha UTT wanawekeza kwenye BONDS,FIXED DEPOSIT,SOKO LA HISA etc.Issue ni kwamba hayo malipo ya kila mwezi kwenye UTT sio fixed inategemea na faida.
Bonds lazma wakupe fixed amount. Unapewa asilimia ina maana zitapigiwa kwenye principal amount maana unakuwa umewakopesha hao UTT wakulipe kwa riba mliokubaliana ndani ya miaka tajwa.

Hisa ni uwekezaji kwa public owned companies. Unapoweka hela kwenye hisa biashara ikikua faida inakuwa kubwa zaidi na ikishuka hasara mnakula wote means hela yako nayo inamegwa.

Tofauti ya hizi bond iko fixed hauwezi pewa hela tofauti na mkataba. Ila hisa hela yake inategemea kampuni imeingiza faida kwa kiasi gani kama haijapata faida hampati kitu na ikila hasara hisa zinamegwa kufidia loss 😂.
 
Okay kwahiyo ni ya uhakika? Maana nimeona hata baadhi ya nyuzi wameiongelea
UTT faida yao huwa sio kubwa kama wengi wanavyoami.Huwa inategemea na Mfuko uliowekeza maana wana aina tofauti za vifurushi.Shida yao ni kwamba kwanza UKIWAPA hela yako wao wanaenda kuipeleka Benk kwenye FIXED deposit so inawafaa watu ambao wana wekeza less than 50M kwana wao wakizichanganya za watu wengi wanawekeza kwenye Fiexed Deposit na wanapata RIBA kubwa na nzuri.Sasa kwa kiwango chako cha PESA sikushauri ukawapa hao.Nakusisitizia tena 500Mil inatosha kutengeneza Generational Wealth.So inabidi Utulize akil sana.Usifikirie Short term fikiri Long term.
 
Bonds lazma wakupe fixed amount. Unapewa asilimia ina maana zitapigiwa kwenye principal amount maana unakuwa umewakopesha hao UTT wakulipe kwa riba mliokubaliana ndani ya miaka tajwa.

Hisa ni uwekezaji kwa public owned companies. Unapoweka hela kwenye hisa biashara ikikua faida inakuwa kubwa zaidi na ikishuka hasara mnakula wote means hela yako nayo inamegwa.

Tofauti ya hizi bond iko fixed hauwezi pewa hela tofauti na mkataba. Ila hisa hela yake inategemea kampuni imeingiza faida kwa kiasi gani kama haijapata faida hampati kitu na ikila hasara hisa zinamegwa kufidia loss 😂.
Ni kweli Bonds huwa na Fixed Interest.Shida ya UTT ni kwamba wao nao wanaenda sehemu kuweka HELA yako kwenye BONDS so ila RIBA ambayo ungepata kama ungeenda labda TREASURY moja kwa moja au BENKI kwenye FIXED mnagawana nao.Ila kama wanavyosema Thamni ya Vipande inaweza kupanda au kushuka.
 
Mkuu nakuelewa, lakini usipende kuanika maisha yako mtandaoni ili kila mtu ajue kuwa bado unaishi kwa dada ako! Nakuombea Mungu akusaidie uhame hapo kwa dada ako nawe uwe na maisha yako

No hard feelings 👍
Pesa hua haitaki kelele ndugu sijawahi ona tajiri ana kuja mtandaoni kuomba kuonyeshwa/kuelezwa ni wapi aka wekeze pesa zake ukiombwa uoneshe hiyo balance utaonesha?
Kama unakojoa kwa kusimama onyesha kitu kama iki otherwise we ni FATUMA tu aka Fetty mipasho.
 
Nitakushauri kwa faida yako....
Nenda kwa broker ntakupa broker mzuri tu chukua hiyo hela igawe mara 6 kama milioni 80 kanunue treasures bond ila hakikisha unanunua Kila mwezi
Kwa miezi sita pambana mwambie broker ahakikishe coupon yako haipungui 15%

Utapata asilimia 15 ya hiyo hela yaani milioni 80 asilimia 15yake kwa kuwa bond wanalipa mara mbili kwa mwaka wataigawanya utapata karibia milioni 6 Kila mwezi kwa mwaka mzima na hela yako ipo pale pale...

Mm napokea 3.7m Kila mwezi na biashara zangu zinaendelea vizuri tu..
Nitakutafuta tuzungumze kwa kirefu zaidi kaka
 
Aliyenishauri hajaelezea vizuri, ye kanambia tu hiyo pesa kaiwekeze mahali uwe unakula faida. Ndo maana nimekuja kuomba ushauri wa wapi pa kuwekeza/soko lipi zuri kwa uwekezaji huu?
Huyo aliekushauri yeye anayo hiyo milioni 500???

Usijekua unashauriwa na mtu ambae hana.(much know)

Mimi siwezi kukushauri kwa sababu bado sijaipata hiyo m 500
 
Bonds lazma wakupe fixed amount. Unapewa asilimia ina maana zitapigiwa kwenye principal amount maana unakuwa umewakopesha hao UTT wakulipe kwa riba mliokubaliana ndani ya miaka tajwa.

Hisa ni uwekezaji kwa public owned companies. Unapoweka hela kwenye hisa biashara ikikua faida inakuwa kubwa zaidi na ikishuka hasara mnakula wote means hela yako nayo inamegwa.

Tofauti ya hizi bond iko fixed hauwezi pewa hela tofauti na mkataba. Ila hisa hela yake inategemea kampuni imeingiza faida kwa kiasi gani kama haijapata faida hampati kitu na ikila hasara hisa zinamegwa kufidia loss 😂.
sahihi kabisa....wewe unamshauri dogo afanyaje?
 
UTT faida yao huwa sio kubwa kama wengi wanavyoami.Huwa inategemea na Mfuko uliowekeza maana wana aina tofauti za vifurushi.Shida yao ni kwamba kwanza UKIWAPA hela yako wao wanaenda kuipeleka Benk kwenye FIXED deposit so inawafaa watu ambao wana wekeza less than 50M kwana wao wakizichanganya za watu wengi wanawekeza kwenye Fiexed Deposit na wanapata RIBA kubwa na nzuri.Sasa kwa kiwango chako cha PESA sikushauri ukawapa hao.Nakusisitizia tena 500Mil inatosha kutengeneza Generational Wealth.So inabidi Utulize akil sana.Usifikirie Short term fikiri Long term.
Ahsante sana kaka nitalifanyia kazi na ndo maana nikaomba ushauri najua kuna madini mengi humu nitayapata hata ambayo sikuwa nayo
 
Back
Top Bottom