maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,454
Yap Kuna mahesabu wanafanya lazima upate faida Kuna Wanachukua hela uliyonunua bond wanazidisha na percentage ya price halafu wanagawanya kwa 100...unapata faida nzuri tu.. kwa mfano umenunua bond za 50m na Sell price in percentage ni 115% na face value inakua 43.478mJe akitaka kuchukua pesa yake aliyowekeza huwa wanatoa na faida?
Faida Sasa
43.478x115/100=57,500,000
Hapo faida ni 7.5m chaap usisahau Hilo sio gawio ni kama unataka kuuza
Halafu bond zimekua hot cake...imagine mnada wa juzi February serikali imepeleka bond za billion 600 sokoni ila maombi yalifika 2.5Trilion
So ni investment nzuri kama unataka kurelax na una taka kuhifadhi hela zako