Revolution za hatari zilizowahi kutokea duniani na faida zake

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
63
Reaction score
269

​

1. French Revolution (1789–1799) – Ufaransa​

Faida zake:

Iliangusha utawala wa kifalme wa kidikteta.Ilileta haki za kiraia, uhuru wa watu, na misingi ya demokrasia.Ilianza mfumo wa serikali ya wananchi (Republic).

Vifo:

Zaidi ya 300,000 (makadirio), ikijumuisha “Reign of Terror”.

2. Russian Revolution (1917) – Urusi​

Faida zake:

Iliangusha utawala wa kifalme wa Tsar aliyejulikana kwa ukandamizaji.Wafanyakazi na wakulima walipata nguvu kwenye siasa.Ilianzisha Umoja wa Kisovieti (USSR).

Vifo:

Takribani 7,000 – 12,000 katika revolution yenyewe.Vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyosababishwa baada ya revolution → zaidi ya 7,000,000 – 12,000,000.

3. Chinese Communist Revolution (1945–1949) – China​

Faida zake:

Iliunganisha China baada ya makundi mengi kupigana.Ilileta mageuzi ya kilimo na viwanda.Iliweka serikali yenye nguvu na uthabiti wa taifa.

Vifo:

Zaidi ya 1,000,000 – 2,000,000 katika vita vya mapinduzi.Vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa ujumla → hadi 8,000,000.

4. Iranian Revolution (1979) – Iran​

Faida zake:

Iliangusha utawala wa kifalme wa Shah uliokuwa ukilaumiwa kwa ufisadi.Wairan walipata thamani kubwa ya kitamaduni na dini yao.Ilianzisha serikali ya Kiislamu (Islamic Republic).

Vifo:

Makadirio ya 2,000 – 60,000 kutokana na maandamano, ghasia na vita vya ndani.

5. Haitian Revolution (1791–1804) – Haiti​

Faida zake:

Mapinduzi pekee ya watumwa duniani yaliyofanikiwa.Haiti ikawa nchi ya kwanza nyeusi kujitegemea.Yalimaliza kabisa utumwa katika taifa hilo.

Vifo:

Kati ya 200,000 – 400,000 (watumwa, Wafaransa, raia).

6. Cuban Revolution (1953–1959) – Cuba​

Faida zake:

Iliangusha utawala wa Batista uliokuwa wa kidikteta.Ilileta huduma za bure za afya na elimu kwa wote.Ilileta usawa zaidi wa kijamii.

Vifo:

Takribani 5,000 – 20,000 wakati wa vita na ukandamizaji.

7 American Revolution (1775–1783) – Marekani​

Faida zake:

Marekani ikapata uhuru kutoka kwa Uingereza.Iliweka msingi wa demokrasia ya kisasa.Ilifungua njia ya katiba yenye haki za binadamu.

Vifo:

Zaidi ya 25,000 Wamarekani.Jumla ya vifo vyote (pande zote) → takriban 50,000+.

8. Arab Spring (2010–2015) – Mashariki ya Kati & Afrika Kaskazini)​

Faida zake:

Iliangusha tawala za muda mrefu: Tunisia, Misri, Libya.Wananchi walipata uhuru wa kusema zaidi.Ilianza mageuzi ya kisiasa katika nchi nyingi.

Vifo:

  • Tunisia: ~300
  • Misri: ~900+
  • Libya: 30,000 – 40,000
  • Syria: Zaidi ya 500,000
  • Yemen: 20,000+

(Jumla ya ukanda mzima → Zaidi ya 600,000)

9. Rwandan Revolution (1959–1961) – Rwanda​

Faida zake:

Iliangusha utawala wa kifalme wa Tutsi.Hutu walipata uwakilishi mkubwa kisiasa.Ilifungua njia kwa uhuru kutoka kwa Ubelgiji.

Vifo:

Kati ya 10,000 – 20,000.

(Lakini vurugu zake zilichangia chuki iliyojenga mazingira ya mauaji ya kimbari ya 1994.)

10. Ethiopian Revolution (1974) – Ethiopia​

Faida zake:

Iliangusha ufalme wa Haile Selassie uliodumu kwa karne.Wakulima walipata ardhi baada ya kutwaliwa kutoka kwa mabwana wakubwa.Ilileta urazini wa ardhi na mageuzi ya kijamii.

Vifo:

Red Terror pekee: 30,000 – 750,000Njaa, vita na ukandamizaji: hadi 1,500,000

Tanzania revolution is loading ........
 
The next is: Tanzanian Revolution 2025/2026

Faida:
1. Kurejeshwa kwa nchi na taifa huru la Tanganyika lililopata uhuru wake 9/12/1961 toka kwa mkoloni Mwingereza
2. Kurejeshwa kwa Utawala wa sheria na wa kidemokrasia ya kweli na haki za msingi za kiraia kuchagua viongozi wao kwa uhuru, haki na uwazi
3. Kujikomboa kiuchumi toka ktk kundi dogo la wahuni wanaojiita "CCM" ambao wameshikilia 95% ya uchumi wa taifa wakishirikiana na mabeberu ya mataifa ya Amerika, Ulaya na Uarabuni na Uchina

Watu wana take easy hii kitu, lakini it's surely going to happen and CCM is going to vanish forever!

Kesho D9, Gogo - Garimoshi linaanza safari. Wanaojua treni inavyoanza safari wanaelewa huwa inaanzaje

It begins very slowly, then it takes its maximum speed few minutes later

Redeeming a nation is not a single day event

Wao wawe tayari tu na majeshi yao. But, as far as we know, hata wanajeshi wetu wa majeshi yote wamechoka na viongozi wanasiasa wahuni na wajinga wa serikali hii

Wanataka thamani ya uaskari wao irudi. Wanataka ukombozi

The time is now

The seasons of changes are now, not tomorrow!
 
Wanaolipwa pesa baada ya kuteka watu wanabinua midomo tu, ni bora watu wauawe wakipigania haki zao ila siyo ujinga unaoendelea hii ya Serikali kuunda vikosi vya kuteka wananchi na kuwabaka.
 
Tutamalizana na Bunge hiyo iliyojaa matahira wasiyotambua majukumu yao ili tuanze upya.
Enough is enough now.
 
Back
Top Bottom