Biashara za jumla faida zake ni ndogo ndogo sana , itategemea na mzunguko wako na uwezo wa kudhibiti hasara. Kwamfano kuuza kreti ya bia faida nI miatano. So ikitokea umevunja chupa moja ya bia ujue umepata hasara ya Faida ya Kreti zaidi ya 4. Zenye mtaji wa zaidi ya tsh 100,00 na gharama za usafirishaji , na malipo ya mfanyakazi 🤣