Urusi sijawai kuona faida yake zaidi kuongeza umaskini kwa afrika wanaomtegemea.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza.

Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian.

Ukandamizaji wa habari na mambo yanayo fanywa kama kuwekewa sumu,kutekwa urusi sio mageni kwa kisingizio kulinda Amani.

Ili neno Amani tulitafakari naona lina nyuma ya giza.

Nchi nyingi zilizo karibu na urusi zina faidika na silaha wala sio matrekta wala nguo. Ukitaka kujua kwani zile silaha October 29 ni aina gani zaidi ya kutoka kwao.

Urusi kama mnataka kuijua rudini nyuma miaka ambayo Afghanistan ilipitia.

We ushawai kusikia urusi imetoa msaada sudani kwenye miradi zaidi ya kufundisha RSF.
 
Tatizo la africa siyo urussi ni waafrica wenyewe ...kwanza kuwaza kuwa una wajomba oman au urussi au USA ni uanithi wa akili
 
Ni kweli na ukiangalia historia ya urusi sehemu kubwa ilipo mshirika hakuna uhuru na ushenzi mtupu.
 
Mrusi hakupi pesa kirahisi
Mzungu atakupa pesa bwerere mfano
Kulinda mazingira
Haki za binadamu
Ukimwi malaria
Human rights
Democrasia n. K
 
Hebu katafute goma como la ise piedra by julio Iglesias ule goma
 
Back
Top Bottom