Bangi inafaida kuliko inavyozungumzwa na wala haina madhara kama inavyozungumzwa. Ndani ya bangi kuna kemikali moja nzuri sana ambayo inasaidia kuongeza hamu ya kula. Baada ya wataalamu kuona faida hiyo, wakaiga kemikali hiyo na kutengeneza dawa ya kusaidia kuongeza hamu ya kula. Dawa hiyo...
Habari,
kuna hii destruri ya madiwani kuvaa nguo aina ya majoho wawapo kwenye vikao vya halmashauri.
Binafsi sioni faida yao kuvaa hivyo kwasababu halmashauri zenyewe changamoto zipo vilevile miaka nenda rudi.
hoja yangu ni kuwa hayo manguo hayana faida kuvaliwa, na laiti yangekuwa na faida...
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono,
Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu,
Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru,
Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki....
Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect
Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye Hisa,hebu tujuzane juu ya Kampuni.
1.
KAMPUNI : Ni biashara iliyo sajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa...
1. Kusaidia Kutoa Gesi na kinyesi: Kujamba husaidia kutoa gesi na kinyesi ambazo mwili umekusanya, na hivyo kusaidia kuzuia matatizo kama vile uchungu au kuhisi kukojoa mara kwa mara.
2. Kusaidia Kuzuia Vidonda na Matatizo ya Tumbo: Kujamba husaidia kusafisha na kuondoa viumbe hai wanaopungua...
Masturbation ina faida kadhaa kwa afya na ustawi wa mtu binafsi, lakini ni jambo la binafsi na inaweza kuwa na athari chanya na hasi pia. Kwa hivyo ni vyema kutambua faida zake na kuishi katika uwiano. Hapa ni baadhi ya faida 10 muhimu za kufanya masturbation:
1. Inapunguza msongo wa mawazo na...
Habari!
Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.
Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.
Kuna ugumu gani...
Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini
Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
Nimesikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu iliyo chini ya Jaji anayeheshimika kuhusu hukumu ya RC wa Arusha na kwamba mpaka dakika hii hujachukua hatua yeyote.
Huku ni kuonyesha dharau kwa mamlaka hiyo ambayo ipo kikatiba na chombo kikubwa cha msaada kwako katika...
Hii biashara ni nzuri na inatoka lakini bila kua mjanja mjanja basi kutoboa ni ngumu sana, zaidi ya kupata hela ya kula tu kwasababu faida yake kwa kila kilo ni tsh 50-100...haiwezi kuzidi hapo.
Nilikua na million 6 nikasema nikaangalie swala la mahindi, unaweza kujaza gari la tani 10, gunia...
Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na:
Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, jambo ambalo linaibua kiwango cha ligi kwa ujumla. Hii inavutia mashabiki...
VPN au VIRTUAL PRIVATE NETWORK ni teknolojia ambayo inakupa ulinzi na usalama wakati unatumia Internet hususani Public networks au mitandao ya Umma .
Kwa kifupi inazuia kuonekana utambulisho wa kifaa chako ambayo network husika imekipa au kitaalamu ni IP ADDRESS . Hivyo ni ngumu taarifa zako...
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.
Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi
Nitaleta mrejesho.
Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika.
Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga
Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X
Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.