faini

  1. esther mashiker

    Mchanganuo wa michango iliyokusanywa na CHADEMA ili kuwalipia faini viongozi wao

    MCHANGANUO WA MICHANGO ILIYOKUSANYWA NA CHADEMA ILI KUWALIPIA FAINI VIONGOZI WAO. 1. Rais Magufuli 38,000,000/= 2. Watanzania 30,000,000/= 3. Ndugu wa Mch. Msigwa 2,000,000/= 4. Hamphrei Polepole 30,000,000/= 5. Mkopo (Precision Air Tanzania) 250,000,000/= Jumla ya Michango yote ni...
  2. J

    Ni kama vile Mbowe na wenzake wametumikia adhabu zote mbili ile ya kufungwa jela na kulipa faini, au imekaaje wakuu?

    Nilipowaona viongozi wa Chadema wakitoka Segerea na vipara ndio nikajiuliza, ukikubali kulipa faini haupewi walau muda kidogo wa kukamilisha taratibu za kiuhasibu? Kwa maana kitendo cha kunyolewa nywele na kutupws gerezani ni kwamba tayari una namba inayoonyesha umeingia lini na utatoka lini...
  3. Geeque

    Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

    Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
  4. Interest

    Michango kuwanusuru viongozi: CHADEMA imekubali hatia?

    Hili jambo linafikirisha. Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya mauaji ya Akwilina tangu mwanzo mpaka hukumu yake iliyotolewa leo katika Mahakama ya Kisutu, Dar. Kukubali kulipa faini bila kukata rufaa, ni kwamba viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekubaliana na hukumu kwamba wanayo hatia ya...
  5. S

    Tungekufa ajali mbaya sana kitaifa daraja walipokufa Wajapan pale Moshi kwa ajili ya trafiki kupafanya mradi wa taifa wa kutolea faini!

    Ni sehemu iko katika barabara ya Moshi kwenda Arusha. Kuna bonde kubwa na daraja na huko nyuma Wajapan walikufa kwa ajali mbaya na hata pamejengwa mnara wa kumbukumbu kwa ajili yao. Kutokana na uwepo wa daraja hili na bonde pamefanywa kuwa sehemu ambayo huruhusiwi ku-overtake na sasa trafiki...
  6. beth

    Dodoma: Mabasi yapigwa marufuku kuruhusu abiria kujisaidia ovyo

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepiga marufuku mabasi ya abiria kuruhusu abiria kuchimba dawa (kujisaidia) kwenye maeneo yasiyo rasmi, na kwamba endapo wakibainika watapigwa faini ya Sh. 200,000 au kifungo cha miezi sita jela. Sambamba na hilo, imeagiza mabasi hayo kupuliziwa dawa za kuua...
  7. DISPLEI

    Kero za Rushwa Trafic kituo cha Mwendo Kasi - Ubungo Kibo

    Hivi karibuni Trafic Police wanakaa sambamba na kituo cha Ubungo Kibo kuzuia magari yasipite njia ya mwendo kasi (kuelekea Ubungo). Sambamba na kituo hicho, kuna kituo cha daladala pia na bajaji zinapakia na kushusha. kutokana na pilikapilika mahali hapo, waendesha magari kuna wakati...
  8. Miss Zomboko

    TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kushindwa kutekeleza masharti ya huduma bora

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imezipiga faini kampuni saba za simu baada ya kushindwa kutekeleza masharti ya leseni na kukidhi viwango vya ubora wa huduma kwa mujibu wa Kanuni za Ubora wa Huduma za mwaka 2018. Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi na Utekelezaji wa Sheria wa...
  9. V

    Traffic Police na mashine za kupiga faini

    Mashine za kutoza ushuru zimekuwa ni sehemu ya uniform kwa traffic police sasa hivi. Naweza kusema kila Traffic polisi watatu unaowaona barabarani wawili wana hizi mashine za kulipia faini kwa makosa ya barabarani. Fedha zinazokusanywa ni nyingi sana lakini fedha hizi hazitumiki katika kutoa...
  10. J

    Inakuwaje makosa ya kutakatisha fedha hayana dhamana wakati faini yake ni ndogo?

    Najaribu tu kuutafakari huu uwiano wa makosa ya utakatishaji fedha na adhabu zinazoendana na makosa hayo. Ni juzi tu tumeshuhudia Jamal Malinzi na mwenzie Mwesiga wakilipishwa faini ya Sh. 500,000 baada ya kusota mahabusu kwa miaka. Wako wakina Kitilya na Sioi nao wamesota sana rumande...
  11. S

    BASATA yampa Rosa Ree mwezi mmoja kulipa faini ya kiasi hiki cha fedha

    Baraza la Sanaa la Taifa “BASATA” limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfungia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa. Barua hiyo imemtaka msanii huyo kulipa faini ya shilingi Milioni 2 ndani ya muda wa mwezi mmoja, “Baraza la...
  12. Miss Zomboko

    Kenya yapitisha faini ya Kshs 500,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa binafsi za wateja

    A public officer who shares personal data with a third party without permission risks a fine of Sh500,000 or two years in jail or both. This is after President Uhuru Kenyatta signed into law the Data Protection Bill of 2019. Signed on Friday, the law provides for the legal framework for the...
  13. elivina shambuni

    Wachina 32 walipa faini mil. 591/- kukwepa jela

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Geita imewahukumu raia wa kigeni kutoka China 32 akiwamo Mkurugenzi wa Mgodi wa Eagle Brand Limited kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Sh. milioni 591.22 kwa makosa manne. Hata hivyo, washtakiwa hao walilipa faini na kuachiwa...
  14. M

    Gari lilikuwa nyumbani siku 2, mfumo wa Trafiki Polisi unaonesha ilipigwa faini

    Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu. Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo...
  15. real G

    Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela. Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
Back
Top Bottom