faini

  1. beth

    Ni kosa kisheria kurusha nyimbo bila idhini ya mwenye nao. Mtu anaweza kulipa faini au kufungwa

    Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Ezekiel Kiongo amesema kumrushia mtu wimbo bila idhini ya mwenye nao ni kosa hata kama huuzi. Amesema ni kosa kurusha kazi ya mtu mwingine bila kibali chake. Amefafanua, "Kwenye Sheria ya Mtandao (Cyber Law) inakataza na inasema mtu anaweza kulipa...
  2. Miss Zomboko

    Urusi: Twitter yapigwa faini kwa kuweka maudhui yasiyoendana na Maadili ya Nchi hiyo

    Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala. Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya Urusi na Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano ya Umma (Roskomnadzor) dhidi ya Twitter ilisikilizwa katika...
  3. Papaa Mobimba

    Mamlaka ya Mawasiliano yaipiga Redio ya Homeboyz faini ya Ksh.1M. Kipindi cha Breakfast chasimamishwa kwa miezi 6

    The Communications Authority of Kenya, led by Director General Mercy Wanjau, during a press address on March 28, 2021. The Communications Authority of Kenya has now slapped Homeboyz Radio with a Ksh.1 million fine and suspended its breakfast show for six months over derogatory comments against...
  4. Analogia Malenga

    Aliyeomba rushwa ya Sh50,000 akwepa kifungo kwa kulipa faini ya Sh1 milioni

    Ofisa mtendaji wa kijiji cha Ndedo kata ya Makame Wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Yusuf Mrisho amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Sh50,000. Hata hivyo, ofisa mtendaji huyo alilipa faini hiyo na kukwepa kifungo hicho...
  5. Suley2019

    Zanzibar: Wamiliki wa Hotel kuchukuliwa hatua ikiwa wageni wao watatoka bila kuvaa stara

    Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni. Chanzo: Swahili Times
  6. Miss Zomboko

    Buchosa: Wananchi walalamika kutozwa faini ya 50000 kwa kutokuwa na vyoo na bafu bila kupewa risiti

    Buchosa. Baraza la madiwani Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema mkoani limelaani kitendo cha ofisa afya kata ya Maisome, Robert Masubugu kutoza faini wananchi bila kuwapa risiti. Wanaotozwa faini ni wale waliokutwa na makosa na kutokuwa na vyoo na mabafu. Kauli hiyo imetolewa leo...
  7. SAYVILLE

    Naomba kujuzwa jinsi ya kulipa faini za barabarani

    Wakuu naomba mwongozo wa jinsi ya kulipa faini ya barabarani. Je, inawezekana kufanya malipo haya online au utaratibu umekaaje?
  8. SAYVILLE

    Ni kituo gani cha Television kilipigwa faini na TCRA wakati wa uchaguzi?

    Kuna taarifa naifanyia kazi sasa nahitaji baadhi ya information muhimu. Ningependa kujua, wakati wa kampeni kuna kituo cha television kilirusha matangazo ya BBC yaliyojumuisha taarifa fulani nadhani kuhusu Tundu Lissu. Kile kituo kilipigwa faini nadhani ya milioni 20. Ningependa kujua kituo...
  9. Analogia Malenga

    Magari 24,521 yanaswa kwa malimbikizo ya faini barabarani Tanzania

    Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini Tanzania, Wilbroad Mutafungwa amesema katika kipindi cha siku tano zilizopita, idadi ya magari 24,521 yamekamatwa kupitia oparesheni ya ukamataji wa magari yenye malimbikizo ya faini zinazotokana na makosa ya barabarani. Akizungumza na wanahabari...
  10. The Palm Tree

    Kwa Waziri wa Mambo ya ndani, RPC & RTO Mwanza: Kwanini vijana wenu (Traffic Police) wanatubambakia faini madereva bila kujua..?

    Hii siyo haki na kamwe siyo halali hata kidogo. Sisemi kwamba madereva hawafanyi makosa ya usalama barabarani, yanafanyika lakini hata hivyo siku hizi kwa kiasi kikubwa madereva wengi wanajitahidi kuwa makini. Hili hata mimi nakubali. Hii haijaja hivihivi bali ni kwa sababu idara ya Polisi -...
  11. Analogia Malenga

    Kampuni ya Boeing kulipa faini Tsh Trilioni 5.7

    Boeing imekubali kulipa faini ya Dola bilioni 2.5 sawa na takriban Tsh. Trilioni 5.7 kwa kosa la kuficha taarifa za kiusalama za ndege 737 Max ambayo ilipata ajali na kuua watu 346 Sehemu ya fedha hiyo italipwa kama fidia kwa familia zilizoondokewa na wapendwa wao katika ajali iliyotokea...
  12. J

    TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti. Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi...
  13. gimmy's

    TRA yampiga faini ya 3,500,000 dereva kisa kapakia tenga 27 za nyanya

    Siku chache zilizopita niliandika kueleza ugandamizwaji unaofanywa na TRA uliomuhusu dereva mmoja wa semi ambae alipigwa faini ya 3,000,000/= kisa kapakia tenga 20 za parachichi na alipoulizwa risiti ya transport hakuwa nayo kwani mzigo ule haukuhusu ofisi,ilikuwa ile kawaida ya madereva...
  14. S

    Traffic wanabambikia watu faini, unaletewa meseji kwenye simu kwamba umepigwa faini na gari halijaenda popote

    Kumekuwa na hali ambayo haileweki ndani ya jeshi la polisi upande wa usalama barabarani ambapo unaletewa meseji kwenye simu kwamba umepigwa faini na unaandikiwa na kosa lako wakati huo wewe upo Dar es salaam na gari halijaenda popote siku nzima wewe upo nyumbani. Ukiingia kwenye mtandao wao wa...
  15. gimmy's

    Watawala wamebariki hizi faini za kionevu zinazofanywa na TRA mabarabarani?

    Kinachoendelea Tanzania kwa Sasa kinafikirisha kiasi cha kujiuliza hivi hao wanaoitwa wanyonge na watawala ni wakinanani? Ndugu zangu kunadereva wa lorry kubwa(semi) amepigwa faini ya milioni tatu(3000,000/=) na TRA kisa amepakia gunia 25 za parachichi na walipomtaka risiti za kielekroni za...
  16. S

    Ni wazi reli za Arusha na Tanga walirekebisha kutumia kodi yetu ili kujifanyia kampeni maana treni hatuzioni na sasa zimekuwa kero za faini za trafiki

    Kuna vitu vinaudhi sana. Serikali ya CCM walifanya mbwembwe nyingi kusema wanafufua huduma ya treni kwenda Arusha na Tanga. Na tukumbuke walitumia fedha yetu ya kodi, sio fedha za CCM. Sasa ni wazi kwamba yote haya walifanya kwa ajili ya kampeni waliyotaka kufanya ya maendeleo ya vitu, ili...
  17. Chachu Ombara

    Kilimanjaro: Mhujumu Uchumi ahukumiwa kulipa faini Tsh. Mil 333 au kwenda jela miaka 20

    MSHITAKIWA katika shauri namba 11/2018 ya uhujumu uchumi na makosa ya kupanga Omari Bokoi amehukumiwa kulipa faini ya Sh Mil 333 au kwenda jela miaka 20 baada ya mahakama ya wilaya ya Same ,mkoani Kilimanjaro kumkuta na hatia ya kupatikana na vipande vya nyama ya Twiga. Hakimu Mkazi wa...
  18. Q

    CCM itozwe faini kwa kuharibu uwanja kama Simba SC

    Uongozi wa uwanja wa Taifa wa Mkapa uliitoza faini klabu ya Simba baada ya mashabiki wake kung’oa viti vya uwanja huo, jana mashabiki na wanachama wa CCM wamefanya uharibifu mkubwa mbele ya mkiti wao rais Magufuli ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho. Tunategemea tamko la Uongozi wa...
  19. B

    Njombe: Mama kujifungulia nyumbani faini Tshs 30,000/=?

    IPO risiti ya halmashauri inazagaa mitandaoni ikionyesha malipo faini ya 30,000 kwa kosa la kujifungulia nyumbani. Naomba kufahamishwa, hii faini ni kwa mikoa yote nchini au ni Njombe pekee? Je, kujifungua mwanamke lazima apatwe na uchungu hospitalini? Je, akipatwa na uchungu akiwa nyumbani...
Back
Top Bottom