faini

  1. Gama

    New Zealand: Mfugaji azuiwa kufuga ndama, atozwa faini

    Mfugaji mmoja huko New Zealannd amaetozwa fine ya $50,000 kwa kpsa la kutunza ng'ombe katika mazingira yaasiyofaa na kusababisha vifa. Ilionekana kuwa ng'ombe walitunzwa katika mazingira yasiyo n hewa ya kutosha, joto kali kitu kilichosababisha vifo. Ndma walioonekana kuwa na hali mbaya waliuawa...
  2. sky soldier

    Manara atapewa adhabu na Karia kwa lengo la kisasi lakini kuhusu kufungiwa hilo jambo ni sawa na kusubiri kuvuna mpunga kwenye upupu

    Watu naona wanakimbilia kusema Manara aliruhiana maneno na karia lakini wanasau hilo neno "kurushiana" ni kitenzi cha kutendana maana nae karia alikuwa akirusha maneno. Wengi tunafahamu Karia ni Simba dam dam na mafanikio ya Yanga kwake yamekuwa ni sawa na kisu kilichomgonga mfupa. siku ya jana...
  3. Lady Whistledown

    Marekani: Twitter yapigwa faini ya tsh. 349,050,000,000 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za watumiaji

    Kampuni ya Twitter nchini Marekani mapema wiki hii, imepigwa faini ya Tsh. bilioni 349,050,000,000 sawa na dola Milioni 150 za Marekani, baada ya kudaiwa kutumia kinyume cha sheria taarifa za wateja wa mtandao huo wa kijamii Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema kwamba...
  4. MUTUYAMUNGU

    Faini ya kujifungulia nyumbani, hii imekaaje?

    Ukizalia nyumbani faini elfu 30. Huku vijijini tunanyanyasika sana. Watu wa Dar mtusaidie kupaza sauti!!!!!!
  5. M

    Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  6. N

    Subiri ujionee sasa: faini hii ya simba itashikiwa bango na"wachambuzi" kinoomanooma

    Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na...
  7. Kanye2016

    Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  8. At Calvary

    Mgodi wa Barrick wapigwa faini Tsh Bilioni 1 kwa uchafuzi wa mazingira

    Mgodi wa Barrick North Mara uliopo mkoani Mara umepigwa faini ya shilingi Bilioni moja na Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kosa la uchafuzi wa mazingira baada ya bomba linalopitisha maji taka kutoka kwenye mgodi huo kupasuka na kutiririsha maji katika Mto Tigite...
  9. B

    Faini, Polisi au adhabu kali barabarani hazipunguzi ajali

    Kuna hali ngumu ya maisha itokanayo na mfumuko mkubwa wa bei ambao serikali imechagua kujiweka pembeni kiaina: Kama vile haitoshi kuna usumbufu mkubwa barabarani. Zinatakiwa pesa, mengine kama kawaida yetu ni usumbufu tu. Bahati mbaya ni kuwa ajali zinazotokea wala hazisababishwi na...
  10. mirindimo

    Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  11. JanguKamaJangu

    TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema ni kosa kisheria kuvuta sigara hadharani au kwenye maeneo ya mikusanyiko na atakayebainika kufanya hivyo atatozwa faini ya Tsh. 200,000 au kutumikia adhabu ya kifungo cha miezi sita jela. Meneja wa Kanda ya Mashariki wa TMDA, Gloria Matemu aliyasema...
  12. N

    RS Berkane yapigwa faini kwa vurugu Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC

    Ama kwa hakika huu ni msiba mkubwa wa tatu kwa watoa bahasha za khaki na wapokeaji wa bahasha hizo , mana msiba wa kwanza ulikuwa goal la SAkho kuwa goala bora la week wakati makanjanja yakiwa yanajaribu kuwaridhisha maboss wao watoa bahasha za khaki walidai ni offside Pigo la pili ni yule...
  13. John Haramba

    Dereva lori la mafuta ahukumiwa jela miaka minne na faini milioni 16

    Mahakama ya Mkazi Wilaya ya Iringa imemfunga jela miaka minne pamoja na kulipa fidia ya shilingi 16,050,000 dereva wa lori la mafuta la Kampuni ya Panone And Co. Ltd, Faid Mussa Manis baada ya kupatikana na hatia katika kesi jinai namba 2019 iliyokuwa ikimkabili yeye na wenzake 6...
  14. John Haramba

    Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa

    Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa
  15. Miss Zomboko

    #COVID19 Austria: Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa

    Baada ya wiki chache, chanjo ya watu wazima itakuwa ya lazima nchini Austria. Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa. Tangazo hili lilitolewa Jumapili hii, Januari 16, na Kansela wa Austria, Karl Nehammer. "Tutapitisha wajibu wa...
  16. Drydon

    Faini za TARURA unapoegesha gari vibaya ni kiasi gani?

    Wanajamvi nilikuwa naomba mwenye ufahamu faini za TARURA ni kiasi gani pindi unapokamatwa kwa kosa la wrong parking.
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Ndege kupigwa faini kwa kuwasafirisha watu wasiochanjwa Ghana

    Maafisa nchini Ghana wamesema kuwa ndege ambazo zinawasafirisha raia wa kigeni ambao hawajachanjwa ndani ya taifa hilo zitapigwa faini ya dola$3,500 (£2,600) kwa kila msafiri. Makamouni ya ndege pia yanapaswa kuhakikisha kwamba watu wanajaza fomu zinazoelezea hali zao za kiafya. Muongozo mpya...
  18. M

    360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

    Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
  19. Determinantor

    Faini ya CAF kwa Biashara inatisha

    Wamepigwa faini ya $20,000 na kutoshiriki kwa miaka miwili. Tumezidi kupoteza ndoto za Vijana na ajira zao
  20. R

    Yanga yapigwa faini na CAF

    Tukisema hii timu ni kihuni inaendeshwa kama timu za ndondo wanakuja juu na kulalamika wanaonewa. ====== SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya Sh11 milioni klabu ya Yanga baada ya kushindwa kujibu madai ya kuwafanyia fujo baadhi ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rivers...
Back
Top Bottom