"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.
Familia ya Marehemu Swalehe Mshale (74) wa Mbagala Majimatitu A Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam, imeiomba Serikali kuwafutia deni la milioni 10 wanalodaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambalo limefanya wasiruhusiwe kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari.
Mzee Swalehe alifariki katika...
Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam.
Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka.
Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako. Wakati mtaani kwenu kideri kinaua kuku, kuku wako watakuwa salama.
Utakuwa huna pesa lakini...
Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa...
Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu. Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho.
Wakati Mwenyezi Mungu akituamuru tusizini,nyie mko busy kuwahamasisha watu wazini,na kujiepusha na ndoa...
Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo.
Jana askari wawili pamoja na familia ya hiyo walienda mashambani na kunyang'anya mbegu wananchi wakitaka kupanda mashamba yao.
Tafrani...
Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko. Kwamba, atawaomba Watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025.
Lakini wakati akisema hayo.
Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.