Kama umemaliza hiyo fani kwa miaka ya karibuni na hesabu zinapanda vizuri, tafadhali nicheki.
1. Uwe unaishi Dar
2. Uwe huna ajira ya kudumu au kama unaweza tenga muda japo saa mbili kwa siku kufanya kazi haina shida
3. Uwe unajua hesabu vizuri.
Urgent.
Tuwasiliane.
+255 676 377 400 au...
Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.
Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita
Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya...
Habari wana JF!
Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
SIKU HIZI KILA FANI NA CHEO KINADHARAULIWA KWA SABABU HII
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli
Siku hizi hata uwe Mfalme, sijui Waziri, sijui Hakimu, sijui Rais, sijui Kuhani, sijui Mwalimu, sijui Mwanasheria, sijui Mwanajeshi, sijui polisi, au hata uwe Nabii. Kote Huko Kwa kizazi hiki...
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa...
Nimestaajabishwa Sana na baadhi ya mwanasiasa kufikia kukodi helikopta kupita kijiji kwa kijiji kana kwamba tupo kwenye kampeni za ugombea nafasi za uongozi wa kitaifa,sioni mantiki ya jambo hili kufanyika kwa wakati huu kwani sio muda wake,nashauri kwa weakness AMBAYO baadhi ya taasisi...
Wanabodi
Hii IGA ya DPW Imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria wa aina gani, wenye uwezo gani, ndio maana tunaingia mikataba ya hovyo!, tukishtuka, tunavunja hiyo...
Akili ya binadamu ina uwezo mkubwa wa kujifunza mambo, japokuwa kuna wanaoziruhusu akili zao kujifunza vitu vingi au fani nyingi.
Watu wengi hupendelea kujifunza fani moja, kisha wasiendelee kujifunza fani nyingine tofauti na fani waliyokuwa nayo awali. Hii ina faida zake na hasara zake. Pia...
Wana JF
Ukisikia mtu kushuka kunaanzaga kwa visingizio. Diamond hana hit song na zilizopo za kawaida sana. Utajiri tu ndio unambeba. Ona vijana wanavyomjibu
Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania
Natanguliza shilukrani
Napatikana kupitia email yangu: yitzhakedward@gmail.com
Suala hili linapotoshwa sana bwana Peter Madeleka ni mwanasheria asiyejua kwamba Dubai ni Kati ya state tano zinaunda muungano wa UAE, Nyingine ni Abu Dhabi, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, na Fujairah!
Kwa muktadha inaruhusiwa kuingiwa kama The emirates of Dubai. Ni kama later on EAC...
Wengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano:
Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu.
Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa kuwapa elimu na ujuzi.
Mzibua vyoo atatatua kero ya kuzagaa kwa maji taka na kuelekea kwenye mfumo...
Habari wana jukwaa..
Natumai mko poa, niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu. mimi ni mwalimu niliyehitimu katika shahada ya ualimu mwaka 2015 katika masomo ya chemistry na mathematics ambae bado sijapata ajira.
Nahitaji kubadili fani kwenda kusomea kati ya kozi zifuatazo;
1. Diploma in...
Fani za mafuta na gesi zilianza kufundishwa Tanzania mwaka 2013.
Mara serikali ikaanzisha shahada ya kwanza ya kemia ya petroli (BSc. Petroleum Chemistry) (wanafunzi 25), Shahada ya kwanza ya uhandisi wa petroli (BSc. Petroleum Engineering) (Wanafunzi 25) na Shahada ya kwanza ya jiolojia ya...
Hii hapa ni orodha ya mataifa 5 zenye kutamba katika fani ya uhandisi duniani. Ebu iangalie vizuri uone nchi yako ni ya ngapi katika orodha hiyo.
===
5 Countries That Produce the Best Engineers in the World
In this article, we discuss the 5 countries that produce the best engineers in the...
Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial.
Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM
Email...
Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati.
Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21.
Mtoto akisoma...
Kwa moyo wa dhati nipende kuwashukuru watendaji wote wa Law School of Tanzania (shule ya sheria ) kwa kuzingatia weledi katika kufundisha na hatimaye kutoa wanasheria ambao watatumika serikalini pamoja na sekta binafsi.
Napenda nikiri wazi kabisa kwamba shule hii ni moja wapo ya taasisi chache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.