Salaam wadau,
Moja kwa moja kwenye maada husika
Mimi ni kijana mwny umri wa mid 20’s. Nina mpango wa kwenda VETA ili kujifunza ujuzi niweze kujipatia kipato. Lengo langu nikasomee kimojawapo kati ya udereva au ufundi simu+computer. Udereva nilioulenga ni Basic driving + ADVANCED DRIVERS GRADE...
Pamoja na kwamba wengi hufikiria dereva anadharaulika katika utumishi na kuchukuliwa Kama kibarua fulani lakini linapokuja suala la upataji wa posho madereva wako vizuri huenda kuliko watumishi wengine katika maofisi kwa sababu kila safari ya kazi ya kutoka nje ya kituo cha kazi lazima dereva...
Leo nimekutana na tangazo la ajira kutoka UDSM wanahitaji Procurement Specialist.
Nikajiuliza maswali yafuatayo.
1. Je, UDSM haina wataalamu wa Ununuzi ?
2. Na kama wataalamu wapo, Je, hawana sifa zinazokidhi matakwa ya hiyo kazii?
3. Je UDSM haiwaamini wataalamu wake walioko kwenye sekta ya...
Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne.
Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili, anaye hitaji kazi hii natakiwa awe anaishi Meru au mpakani mwa Arusha na Moshi au Wilaya ya Hai maeneo ya Bomangombe. Intern anahitajika mmoja au wawili katika fani hiyo...
Tujifunze kusoma fani zinazotuachia ujuzi ili tuweze kujiajiri na pia kutengeneza ajira kwa wengine. Mfano mdogo tu, jaribu kutangaza nafasi ya fundi wa kushona mavazi; inaweza kuchukua wiki, miezi hakuna mtu aliyeomba. Hii inatafsiri, wenye hiyo fani wako bize na mambo yao na hawaitaji...
Mnapoisifu idara ya Usalama ya leo mjue waliowarekruit wa leo wote walitengenezwa na Mwalimu. Kuanzia mzena et Al. Uzi upo humu.
Kumbuka huwezi kuwa mwalimu mkuu bila wewe mwenyewe kubobea kwenye ualimu. Huwezi kuwa jenerali wa jeshi bila wewe mwenyewe kuwa jenerali (hata Kama hujaenda field)...
Vijana,someni fani zinazowaachia ujuzi, haya mambo ya kuchagua fani ambazo ni ngumu kujiajiri ni sawa na kupoteza fedha zako.
Chukulia mfano, labda umesoma mambo ya historia au fani zenye uelekeo huo mpaka ukafikia labda uprofesa; kwa fani hiyo, usipoajiriwa utaonekana ni sawa na mtu ambaye...
Tofauti na fani za wahandisi ambao majengo na mitambo yao huwa wanatuonesha maelezo yaliyobaya/michoro yenye uhalisia wa ndani (interior design) ambazo hujibu kiu ya watumiaji kiuhalisia na kitaalam!
Janga la corona limekuja kuweka ombwe katika sekta ya afya kwa mabingwa wetu kuonekana bado...
Habari,
Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi.
Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.