Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar.
Taarifa zinaonyesha kwamba...
Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake.
Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
Niaje mabibi na mabwana
Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke.
Kama ni zinaweza kutumika kwa mambo ya kishirikina nataka kujua Mshana Jr na wataalamu wa haya...
Kinachowapelekea watu kujireko video za utupu wawapo faragha ni kitu gan? Tena ikitokea mmeachana mmoja taamua kuachilia picha hizo kwanini tusitiriane?
Kwanza najiuliza unapokuwa na UPWIRU wako hivi nguvu ya kuanza kujirekodi unaitolea wapi? Maana najua utakuwa na KIMUHEMUHE cha kukata na...
Ofisi ya Ulinzi wa Data inasema kuwa uchakataji wa Taarifa Binafsi kupitia mradi wa Worldcoin haukuzingatia kanuni za ulinzi wa data kama zilivyobainishwa katika kifungu cha 25 cha Sheria.
Ofisi hiyo sasa imeitaka Mahakama kuingilia kati ili kutoa mwongo wa hatua za kuchukuliwa dhidi ya...
Privacy ama kujitenga ni jambo jema sana. Wengi hupenda kujitenga mara baada ya kufunga ndoa, hutafuta sehemu ya uficho kwa ajili ya kwenda kutafakari safari yao nzima ya maisha. Watahitaji sehemu nzuri yenye utulivu na kila kitu kizuri.
Wengi hatuna taarifa au maarifa ya kuyafikia haya...
Alama ya dole gumba au utambulisho wa mboni yako ni utambuzi wa kibaiolojia ambao hutumika kama njia ya kumtambua mtu na kuruhusu kufikia au kufungua vitu fulani.
Ikiwa mtu au kampuni yenye nia mbaya inapata nafasi ya kufikia alama zako za utambulisho, taarifa zako binafasi kama miamala ya...
Kadiri teknolojia inavyoendelea kusonga mbele na dunia inavyozidi kukua kidigitali, umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha unazidi kuongezeka. Hili ni jambo muhimu sana, hasa katika biashara, hususani katika upande wa miundombinu. Kushindwa kuhakikisha Ulinzi wa Taarifa Binafsi na...
Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe.
Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa zimeelekezwa bafuni.
Mmoja wa marafiki hao aliona video kutoka mtandao wa Tiktok ikiongelea kuhusu...
Habari Wakuu,
Wengi tumekuwa tunapokea ama kutoa ushauri kwa watu kuacha kuanika maisha yao binafsi mtandaoni. Baadhi wanaelewa huku wengine ikionekana maneno yanaingia sikio moja na kutokea jingine.
Baadhi wamepata madhara kwa kuanika maisha yao mtandaoni huku wengine wakifaidika na hilo...
Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?
Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
WhatsApp imesema haitaweza kupunguza au kulegeza masharti yake ya usalama wa faragha ya watumiaji wa mtandao huo hata kama watatakiwa kufanya hivyo katika Muswada wa Sheria ya Usalama Mtandaoni.
Ujumbe wanaotumiana watumiaji wa WhatsApp unabaki kati yao na hakuna upande unaoruhusiwa kuona...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha leo tarehe 02 Machi, 2023
RAIS SAMIA
“Kutofanyika kwa...
Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba.
Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa.
Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja wakihisiwa kuingiliana kimwili faragha zao zisiingiliwe.
Wewe mwenyewe ulijibu kwa ghadhabu. Sasa...
Nywila (password) ni utambulisho binafsi, ambao hulinda taarifa zote katika ulimwengu wako wa kidijitali: taarifa binafsi, akaunti za benki, mitandao ya kijamii, taarifa za nyeti, picha na maudhui ya aina yoyote.
Ndiyo maana ni muhimu kuunda nywila imara ambayo ni ngumu kukisia. Hata nywila...
Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi (Data Privacy Day) inaadhimishwa kila Januari 28
Haki ya Faragha inawezesha Raia kufurahia Haki nyingine kama:
- Uhuru wa Mawazo
- Uhuru wa Kujieleza
- Uhuru wa Kukusanyika
Ni Msingi wa Jamii ya Kidemokrasia
Katika Nchi nyingi, Faragha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.