Faragha inayohusisha wapenzi wawili ambao wao kwa utashi na akili yao wameamua kuburudisha miili yao katika mazingira tofauti ila yanayohusisha faragha madhali kwenye boma, ndani ya gari binafsi.
Je, inapotokea uvamizi ama kuingiliwa na watu wengine katika starehe zao sheria inatafsirije hilo?
Januari 28 ni Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi, ikiwa ni jitihada za kimataifa kujenga ufahamu kuhusu umuhimu wa kuheshimu Faragha
Ulinzi wa Faragha ya Taarifa binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu kwa mujibu wa Ibara ya 12 ya Tamko la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa la Mwaka...
Kila mtu ana haki ya faragha kama inavyotambulika katika ibara ya 12 ya Tamko la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa ambapo kila mtu hutakiwa kuhakikishiwa usalama wa taarifa zake
Katika hali ya kawaida watu wengi hudhani ‘Kukosa cha kuficha’ wakiamini hawatakiwi kujali, Lakini hata kama...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi.
Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo.
Katika...
Hapo vip!
Katika kesi ya Sabaya vodocom walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya ila huu upande ambao kwa sasa hivi wanailalamikia TIGO kutoa ushahidi dhidi ya kesi ya Mbowe waliona sawa na walikaaa kimya.
Ninachokiona kuna ushabiki mkubwa wa kisiasa katika hizi kesi..nakuna vikundi...
Tafadhali someni hapa chini: Privacy Policies za makampuni mbali mbali ambayo wanachakata na kutunza taarifa binafsi za wateja (personal data).
Sina upande wa ipi ni nzuri ipi ni mbaya.
But be in the know! Information is Power!
Ukisoma kwa undani utagundua madalali wa faragha zako.
Chukua...
Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja .
MIC TANZANIA PUBLIC...
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
Shahidi ambaye ni wakili katika kesi ya Mbowe kwa jina la Frank Kapara ameeleza kwa mlolongo mrefu uzoefu na utendaji wa kazi yake katika kampuni ya Tigo. Pia ameeleza jinsi gani anavyotoa taarifa za wateja kwa vyombo vingine pale anapohitajika kufanya hivyo. Maelezo yake anaonyesha ni rahisi...
Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
Kampuni ya Zoom imekubali kulipa Dola za Marekani Milioni 86 kumaliza Mashtaka ya Faragha yaliyofunguliwa mwezi Machi mwaka 2020 huko California.
Zoom ilidaiwa kuingilia Faragha ya mamilioni ya watumiaji kwa kutoa Taarifa zao Binafsi kwa Facebook, Google pamoja na LinkedIn.
Vilevile...
Biashara yoyote huweza kutumia mtandao kupata wateja. Wanaotangaza biashara mtandaoni wanapaswa kutambua Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) inaambua haki ya faragha ya mlaji
Faragha ni pamoja na kutosambaza taarifa za mteja wako bila makubaliano naye. Tangaza biashara yako bila kuanza...
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
PIA, SOMA:
- CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu.
Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
Kiongozi wa Hong Kong amepuuza onyo na Kampuni kubwa za Teknolojia zikiwemo Google, Facebook na Twitter zilizosema zinaweza kuacha kutoa huduma katika Jiji hilo ikiwa Mamlaka zitaendelea na Sheria mpya ya faragha.
Mamlaka zimeainisha mipango ya kupitisha Sheria mpya inayolenga kitendo cha...
Heshima Kwenu Wana JF,
Wanawake wengi flat screen na vimbau mbau unaweza kua umewapenda the way walivyo lakini tatizo lao kubwa wakiwa faragha hawana confidence ya kujiachia kama wenye maumbo yao.
Badilikeni mnatuboa sana maana sie hua tumewapenda vile mlivyo.
Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo.
Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio waaminifu kwenye kampuni hizo wanaoshirikiana na wahalifu kwa kutoa Siri za wateja.
Waziri amesema...
Wenye chuki wote popote alipo wacha wajinyonge!
Mabibi na mabwana ni muda sasa wa kuuzoea utendaji mpya wa serikali yetu.
Hii mambo ya kuzurura kariakoo au magomeni siyo dili.
Wito wa mheshimiwa Rais kuwataka watendaji kuchapa kazi wakiachana na media ikiwamo mitandao ya kijamii sasa ni kwa...
Tuangazie sheria za mataifa mbalimbali kuhusiana na 'Ndege zisizokuwa na rubani' maarufu DRONES.
Teknolojia na matumzi ya ndege hizi inatazamiwa kupiga hatua mara mbili zaidi kwa miaka mitano ijayo, kutoka Trillioni 51.2 TZS (2020) Hadi Trillioni 102.3 TZS (2021). Matumzi makubwa yakiwa...
Watu wanafika hospitali, wanapiga picha wapendwa wao na watu wengine wanowazunguka bila ridhaa ya wale waliopigwa picha, hii si sawa.
Madaktari wapo kazini, baadhi ya wahudumu wa afya wasio na maadili wanarekodi video na kupiga picha kwa maelekezo ya ndugu wa mgonjwa au utashi wao tu..hii si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.