Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika.
Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...