Salaam. Shalom!
Ujio wa mtu huyu duniani aliyetokea Mbinguni Kisha kuuvaa mwili wa mwanadamu, akaingia ndani ya tumbo la mwanamke Mariam bikra Kisha akazaliwa, umeendelea kuwa utata na sintofahamu Kwa wengi.
Wayahudi waliokota mawe na kutaka kumrushia baada ya Kutoa kauli hii tata kwamba...