secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wakuu,
Watu wote wanaopinga kile kilichosemwa na na Father ni maqdui wakubwa wa nchi wenye nia ya kuficha uchafu wote uliofanywa na serikali.
Yaani kwa lugha rahisi unaweza ukasema wanaopinga hoja za Dr. Kitima ni kama wametolewa ubongo na kuingiziwq kimba kumkichwa hata wasielewe kile ambacho Father alikiwasilisha.
Kitima alikuwa amenyoosha maelezo pasipo kuangalia sura au pua ya mtu, lakini cha kushangaza members wa JF wenye mtindio sugu wa ubongo wamekuja na hoja za kisukule kwa kuhusianisha kilichozungumzwa na Kitima jaribio la kuleta udini.
Nimemaliza.