Mwanasheria Fatma Karume ameelezea kwa kirefu kisa kimoja cha utapeli wa nyumbani ya mirathi na kesi iliyofuatia mahakamani iliyodumu kwa muda wa miaka 20!
Kwa mfumo huu wa mahakama kuendesha kesi kwa miaka kuna watu wengi sana watakuwa wanateseka kuzipata haki zao, labda ndio maana watu huwa...
Heh! Mama Fatma kafunga safari kutoka Zanzibar hadi Arusha kumpongeza tu au kuna ujumbe mwingine kampelekea?
Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na kuongoza Dua maalumu ya kumuombea Kheri, afya njema na mafanikio zaidi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akionesha...
Wakili Fatma Karume ameweka wazi mtazamo wake kuhusu kitendo cha baadhi ya Wabunge kugalagala chini kwenye vumbi kumshukuru Rais kwa kupeleka fedha katika maeneo yao. Akizungumza katika mahojiano na The Chanzo, Karume alisema kuwa kitendo hicho ni cha kujidhalilisha na hakifai.
Pia, Soma:
+...
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri
Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa. Ni huko Ukurasani X. Mlale...
Fatma Karume anasema:
Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye BURDEN of proof. Can you prove a NEGATIVE beyond reasonable doubt?
To make it easy for you DPP: Unaweza...
Ibara ya 40(4) ya Kiswahili.
Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea...
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi...
Fatma Karume atoa shule kwa waandishi habari na wananchi juu ya umuhimu wa TLS Tanganyika Law Society
https://m.youtube.com/watch?v=6Ga1OhmOZNI
Fatma Karume wakili bobezi aliyesajiliwa Middle Temple London, Mahakama Kuu Tanzania na Mahakama Kuu Zanzibar anatoa somo kazi kubwa ya TLS ni...
Kuna upuuzi mwingine ni wa viwango vya lami, mahakama pamoja na weledi wake ilishindwa kunusa hali yoyote ya uhuni kwa awa wakina magoma na mwenzake? Wajumbe wa Baraza la wadhamini aliowashtaki magoma kipindi kile ni watu maarufu na wanajulikana ata makazi yao walipo na ata ofisi zao...
Fatuma KArume: Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza:
*Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili?
*TLS haiwezi kutunga regulations bila ya idhni ya AG.
*Hamuoni AG anaingilia “Freedom of Association”?
Sidhani nimeeleweka.
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania.
Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake...
Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar.
Katika hotuba yangu nimeendelea kusisitiza umuhimu wa taasisi za...
Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes.
Source X. Zamani...
Kufuatia Sekeseke la udini baada ya Waziri wa kilimo Hussein Bashe kusema Kufikia Ramadhani sukari itakuwepo, Mwanasheria na mwanaharakati Fatma Karume amemshauri Bashe kutotatua uhaba wa sukari nchini.
Kauli hiyo ameitoa kwenye ukurasa wake wa "X",
"Ushauri wangu kwa Bashe: “Kifo cha wengi...
"Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!"
====...
Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu.
Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
Mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Fatma Karume, ameunga mkono suala la Wamasai kukatazwa kutembea na Silaha huko Zanzibar.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Fatma amesema,
"Ukibeba silaha Zanzibar unavunja Sheria za Jinai, Utamaduni si sababu ya kuvunja sheria.
Wazenji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.