Kauli za Wakili Fatma Karume kuhusu hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka yake katika Mahakama Kuu, Machi 4, 2022 ambapo alikuwa yeye pamoja na wenzake watatu ambao wote wamefutiwa mashitaka yaliyokuwa yakiwakiabili.
"Ukitazama historia ya siasa, haijawahi kutokea...
Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba.
Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana
Kupitia...
Abuu Kauthar
Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao.
Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.
Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka...
Mzuka wanajamvi
Kuna jamaa nilikuwa na mdai akawa ananikwepa tukakutana naye ghafla.
Nikamzuia na kumuambia anilipe. Jibu alilonipa lilizidi kunikera kwa kuniambia sina hela ukitaka niue basi au fanya chochote.
Sasa Shangazi ajiandae kabisa na majibu kama haya kutoka kwa 'short sighted'...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;
Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za...
Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.
Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini.
Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why 🤔?
In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are...
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
PIA, SOMA:
- CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
PICHA: Fatma Karume
Jamhuri imewasilisha nia ya kukata rufani kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliotengua uamuzi wa kumfuta katika orodha ya mawakili, Fatma Karume.
Nia hiyo ya kukata rufani imekwamisha maombi ya Fatma kupitia Wakili wake, Peter Kibatala, ya kutaka Msajili wa Mahakama Kuu atoe...
#EXCLUSIVE: " Samia Suluhu's destiny is to change Tanzania's constitution." Fatma Karume
Former President of Tanganyika Law Society (TLS) Ms. Fatuma Karume exclusively speaks to Mwanzo TV's Leah Ngari on human rights violation in her country, why citizens have no faith in the current...
=======
"Kwa nyote mnaoniuliza kama wamenirejeshea uwakili:
JIBU NI:
HAPANA!
Hukumu ya Feleshi kuniSUSPEND bado ipo IMARA japo kuwa:
1. kaniSUSPEND bila ya kunipa HAKI ya kujitetea.
Tangu 2019;
2. Suspension ilikuwa temporary na Hakuna temporary order inayodumu zaidi ya miezi 6!
2019...
Kwanza kabisa napenda kazi ya hawa watu. Tungekuwa na watu kumi kama hawa nchi ingekuwa inaenda kwenye mtaari mnyoofu kabisa na kufuata sheria.
Swali najiuliza nini kipo ndani yao kinawafanya wawe wanaharakati wajasiri namna ile?
Je, ni elimu waliyo pata. Kuna elimu mtu unapata inakufanya...
Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021.
Nini maoni yako.
#MitanoTena
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.
Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea...
Kwa Nini mtu aondoke madarakani taasisi inyong'onyee? TAMWa, TLS na taasisi nyingine zinazitetea haki Tanzania zinakufa taratibu kwa kukosa watu wanaoweza kuyaona matatizo ya wananchi kwa upana nakuyatatua.
Kama taasisi hizi za haki za binadamu zimebaki kulipana mishahara nakukaa ofisini bila...
Kikao cha kamati ya maadili ya Mawakili kilichokaa leo tarehe 23/9/2020 kimemkuta na hatia ya kukiuka maadili kwa kiwango cha juu, wakili Fatma Karume mwenye roll namba 848 na hivyo kuamuru jina lake liondolewe (permanent removal) katika orodha ya mawakili Tanganyika.
Septemba mwaka 2019...
Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi kuwepo. Lazima tufahamu kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ni shirika linalo jitegemea pamoja na kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.