fatma karume

  1. Nafaka

    Salama na Fatma Karume (Shangazi)

    Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Salama Jabir akipiga story na Fatuma Karume. Wamezungumzia mambo mengi ila mimi kwangu hasa nilichokiona kwa Shangazi ni kwamba ni mtu ambaye hana furaha (ni mtazamo wangu) kutokana na muonekano wake. Na hii ninahisi inasababishwa na mtazamo wake kuhusu...
  2. Kawe Alumni

    Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  3. E

    Ukishangaa ya gazeti la Tanzania Daima utastaajabu ya Fatma Karume

    Fatma karume a.k.a shangazi anasema anastaafu uwakili kwa sababu ya mahakama zetu kutokujitambua baada ya kusimamishwa uwakili nakuitwa kwenye kamati ya nidham akiwa km wakili. Naakasema haendi ili waamue wanavyoamua Hakuna asiyejua kuwa ndg yetu fatma karume ameamua kubwaga manyanga baada...
  4. Return Of Undertaker

    Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

    1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! 2/ Kwa kusema...
  5. Roving Journalist

    Zanzibar 2020 TAMWA Zanzibar: Wanawake jitokezeni kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi

    Chama cha Waandishi wa Habari Wananawake (TAMWA Zanzibar) kinawashauri wanawake wa vyama vyote vya siasa kujitokea kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi mbali mbali ndani ya vyama vyao. Ushauri huo unakuja siku chache baada ya vyama vya siasa kutoa nafasi kwa wanachama wao kuwania...
  6. S

    Uchaguzi 2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim...
  7. M-mbabe

    Fatma Karume achambua suala la Barrick/Acacia & makinikia

    Amenena shangazi Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya serekali jana kuingia mkataba na "beberus" Barrick. Tunaendelea kuliwa kama nchi..... au tutaliwa zaidi chini ya awamu ya 5 it seems. Hiki chama (CCM) nina kadi yake but moyoni kishanitoka kabisa. Sitii neno zaidi hapa...
  8. S

    Fatma Karume atoa ujumbe huu kwa TISS

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya: Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake. 1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA 2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT 3. Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe. 4. Sio kila mtu ana AKILI kama...
  9. ngoshwe

    Fatma Karume, yanayofanywa na Kambole ni sahihi?

    Taarifa hii imeandikwa na Wakili wanaodai kutetea Haki za Binadamu akina Jebra Kambole kwa nia ya kujipatia kesi kinyume cha taribu za taaluma ya Mawakili na kusambazwa mitandaoni:. "..Ndugu yeyote wa washtakiwa waliohukumiwa jela leo kifungo cha maisha awasiliane nami inbox au Wakili Jebra...
  10. B40

    Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

    Naomba kujua wanabodi kama Wakili Fatma Karume ana undugu na familia ya Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume. Na Je ni mwanachama wa CHADEMA? ====== Fatma Amani Karume Brief biography: Age: Born June 15, 1969 in Zanzibar, Tanzania Advocate: Admitted, 1994 in Tanzania Education...
Back
Top Bottom