fedha za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wa Chuo cha Kampla - Gongolamoto tunaomba uchunguzi kuhusu usimamizi wa fedha za Serikali ya Wanafunzi

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala, Kampasi ya Gongolamboto, tunaomba mamlaka husika kuchunguza usimamizi wa fedha za Serikali ya Wanafunzi. Kila mwanafunzi huchangia TSh 20,000 kwa mwaka kwa ajili ya shughuli za Serikali ya Wanafunzi. Hata hivyo, fedha hizo zimekuwa zikiwekwa na kusimamiwa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mapato yanayotokana na mgodi uliopo Mwime hayajawahi kuwasilishwa

    Tunaomba mamlaka husika na JamiiForums kutusaidia kufuatilia suala hili. Kwa takribani miaka mitatu sasa, Mwenyekiti na Mtendaji wa Mwime, Manispaa ya Kahama, hawajawahi kuwasilisha taarifa za mapato yanayotokana na mgodi uliopo katika eneo letu. Wananchi tunaeleza kuwa kila duara linalofika...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Fedha za Zawadi kwa Serengeti Boys, Tanzanite Queens zitalipwa, mchakato wa fedha za serikali unaendelea ili walipwe

    Baada ya mjadala kuwa mkali mtandaoni kuhusu ahadi ya serikali kwa timu hizo kugeuka hewa, Msigwa amekuja kutoa ufafanuzi, kuwa wanazifanyia kazi na mchakato unaendelea, huku kwa Tanzanite Queens mchakati ukielekea kukamilika. Hivi wangelipwa kweli kama raia wasingeliibua? ==== "Nimeona...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Kheri James awataka wahandisi wa umwagiliaji kutanguliza uzalendo na weledi kulinda fedha za Serikali

    RC KHERI JAMES AWATAKA WAHANDISI WA UMWAGILIAJI KUTANGULIZA UZALENDO NA WELEDI KULINDA FEDHA ZA SERIKALI 📍NIRC Iringa. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amewataka Wahandisi wa Mikoa na Wasimamizi wa miradi ya Umwagiliaji nchini kufanya kazi kwa uzalendo wa hali ya juu na weledi ili...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kikao cha pamoja baina ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi, kampuni ya Raddy Energy, Benki ya CRDB na wawakilishi wa taasisi za fedha

    Kikao cha pamoja baina ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi, kampuni ya Raddy Energy, Benki ya CRDB na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi wakiendelea na kikao jijini Stockholm, hivi karibuni.
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nicodemas Maganga: Nitasimamia kikamilifu Fedha za Serikali kwa manufaa ya Wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga, amesema ataendelea kuwa mkali na kusimamia kwa karibu matumizi ya fedha zinazotolewa na serikali kuu kwa ajili ya kutatua changamoto za wananchi na kuboresha miundombinu ya kijamii. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI chunguzeni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za serikali katika shule ya sekondari Mvuti

    Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka 2019 alipoondolewa Head Master aliyekuwepo na kuletwa Headmaster Mpya aliyepo mpaka sasa! Je nini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Meneja wa TARURA Mwanza na mhasibu wanajihusisha na vitendo vya ubadhilifu wa Fedha za Umma

    Meneja wa Tarura mkoa wa Mwanza na mhasibu wake wamekuwa watu wa ovyo kwenye majukumu yao. Hawa watu wawili wanaifanya Tarura Mwanza iwe sehemu ya hovyo sana kwa sababu wana madudu mengi. Wanashirikiana kuiba fedha za serikali kwa kigezo cha meneja huyo kuwa na ukaribu na mtendaji mkuu Eng...
  9. Golden Elimeleck

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kutumia teknolojia ya Blockchain kukabiliana na Ufisadi serikalini na TRA

    Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS 3.8 bilioni (takriban USD 1.6 milioni). Skendo hii imesababisha wasiwasi kuhusu usalama na uadilifu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CCM huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa Wilaya na mikoa unawasadiaje mbona wizi wa fedha za serikali ni mkubwa maeneo hayo?

    Ukimsikiliza makonda kwenye mikutano yake ,inaonyesha ccm imeshindwa kuisimamia serikali ngazi ya wilaya na mikoa. Hao wenyeviti wa ccm wilaya na mikoa,kupitia kamati za siasa wanashindwa kukagua miradi na kutoa taarifa mapema hadi milioni 600 zinaibiwa? Hizo kamati za siasa za wilaya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kusoma mapato na matumizi yaliyopita kwa wizara

    Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti. Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...
Back
Top Bottom