Kwa nini nauliza hayo?
1. Inasemekana, miaka ya nyuma, kabla ya Magufuli na hatimaye Samia kuingia madarakani, Wakenya walikuwa wanaingia Tanzania na kununua viazi mviringo na kuvipeleka Kenya. Vikifika huko, havipelekwi kwa Wakenya, bali husafishwa vizuri na kisha kuwekwa kwenye vifungashio...