fedha

  1. D

    Kuna Wahindi wanazunguka mitaani na kutapeli fedha kwa njia ya ushirikina.

    Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete). Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye gari ndogo. Wamefanya matukio Goba na Tegeta. Chukua tahadhari.
  2. A

    DOKEZO Changamoto ya usimamizi wa michango ya fedha za wanachuo, Chuo cha Mifugo Kikulula

    Chuo cha Mifugo Kikulula kimekuwa na tabia ya kupokea pesa za wanachuo kwa ajili ya bima ya afya lakini usimamizi wake una changamoto kubwa. Mara kadhaa msimamizi anayepewa hilo jukumu amekuwa akila hela za michango, hivyo kuleta usumbufu kwa wahitaji wanapotaka kupatiwa huduma za afya Vile...
  3. M

    Pre GE2025 Aubrey Silayo mtumishi wa TRA anayefanya ulaghai kusaka ubunge Vunjo

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Urais mwaka 2025 joto kumeanza kuchangamka maeneo mbalimbali ya Nchi kwa watu wenye nia ya kujitosa kwenye udiwani au ubunge kuanza kupitapita. Moja kati ya maeneo yanayoshuhudia vikumbo vya wenye nia ya ubunge ni Jimbo la Vunjo ambako moja kati ya...
  4. N

    Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

    Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma. Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
  5. A

    KERO Ucheleweshaji wa pesa za refund Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na tuition fees hii haikupelekea hiyo hela iliyozidi kutokana na uongezewaji wa Ada kipindi ambacho Sisi...
  6. Pascal Mayalla

    Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!

    Wanabodi Merry Chritmas Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter. Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
  7. GRAMAA

    Waandishi wa habari mnapata wapi ugumu wa kumuhoji Abdul juu ya sakata la fedha za mama Abdul?

    Waandishi wa habari wa bongo ni wakuda sana. Wote wameufyanta mkio hakuna hata mmoja aliyethubuti kumtafuta Abdul na kumuhoji juu ya sakata la fedha za mama Abdul. Wazee inabidi mbalansi story yenu kwa kumuhoji na Abdul pia baada ya kuwahoji Wenje,Lissu na Mbowe. Walaji wa habari zenu...
  8. GRAMAA

    Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

    Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje. Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
  9. chiembe

    Je kauli za Lissu kushambulia wenzake zinatokana na kuchanganyikiwa na madeni? Wenje adai alimkopesha fedha Lissu wakati anaumwa

    Ni mbinu ya kuzuia asidaiwe? Katika mahojiano yake na chombo cha habari, Wenje amesema kwamba alitoa fedha zake nyingi kumkopesha Lissu wakati anajiuguza, na kwamba hajalipwa mpaka leo. Najiuliza, Lissu amechagua kundi la watu wanaomdai, awachafue ili kuwapunguza kasi? Kwa nini asilipe madeni...
  10. britanicca

    Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  11. JamiiCheck

    SI KWELI Mbowe amuonya Lissu adai kuhusu uenyekiti asema Lissu anatunza Fedha zake Ubelgiji

  12. Mr Why

    Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

    Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake Tazama Video hizi kwa utulivu
  13. A

    KERO Ucheleweshaji wa fedha za kuendeshea shule za msingi za serikali

    Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema. Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
  14. F

    Mnaofurahia kuporomoka kwa Dolla ya Marekani hamjui mchezo wa thamani ya fedha na ni nani anayechezesha mchezo huo.

    Hata kwa maneno ya Governor wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa dola itaanza kupanda tena kuanzia February 2025 unaweza kujua tu kwamba kila kitu kipo kwenye control. Wasilolijua watu wengi ni nani hasa huyo yupo kwenye control ya haya mambo. Si mwingie ni Mmarekani mwenyewe! Kuna wakati nchi inaamua...
  15. Roving Journalist

    Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar: Acheni kuchukua fedha ili muwafiche wanaowafanyia ukatili Watoto na Wanawake

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    DC Lindi Amulika Miradi ya Elimu, Asisitiza Muda, Ubora na Thamani ya Fedha

    DC LINDI AMULIKA MIRADI YA ELIMU, ASISITIZA MUDA, UBORA NA THAMANI YA FEDHA Mkuu wa wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva amesisitiza Miradi ya elimu kukamilika kwa wakati, Ubora na thamani ya fedha ambapo ameyasema hayo akikagua miradi ya Elimu Sekondari katika Manispaa ya Lindi akianza na Miradi...
  17. Waufukweni

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nduweni wamshukuru Mbunge Prof. Mkenda kwa zawadi za fedha kwa waliofanya vizuri

    Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa zawadi za fedha kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2024 Akizungumza kwa niaba ya...
  18. TRA Tanzania

    Mwanza: Naibu Waziri wa fedha kuzindua boti ya doria

  19. Mkalukungone mwamba

    Kigoma yang'ara usimamizi bora wa fedha za umma

    Watendaji wa serikali mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia miongozo ya matumizi ya fedha za umma ili kufanikisha mipango ya serikali inayolenga kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi. Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Rugwa, baada ya mkoa huo kushika nafasi ya...
  20. Roving Journalist

    Mpanda: Tsh. Milioni 500 zatengwa kujenga Kituo cha Afya, fedha zimeisha ujenzi haujakamilika

    Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini. Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
Back
Top Bottom