Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu.
Akubali yaishe..
Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana
https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
NAWAZAAA,NADHANI NI WAKATI SAHIHI SASA KWA MHESHIMIWA NCHEMBA KUJIUZURU KUEPUSHA YA KENYA HAPA TZ...AMEISHINDWA WIZARA ANANUNULIA TEAM ZA MIPIRA KWA MASIRAHI BINAFSI...AMESHINDWA KUA MBUNIFU KWA SWALA LA MAPATO NI MTU ANAEKURUPUKA BILA KUFIKIRIA WATANZANIA.
SAY NO TO MWIGULU.
JIMBO LA KITETO: TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO
TUMEPOKEA FEDHA KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO KIASI CHA SHS 965,280,029
Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto, nachukua fursa kuwafahamisha kuwa tumepokea fedha 965,280,029 Shs kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
Nimezungumza na Mhe...
MBUNGE ROSE CYPRIAN TWEVE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuwa Imara na mwanamke ambaye hajatikisika kuhakikisha anaendelea kuliongoza Taifa hili. Nampongeza Mhe. Mwigulu na Mhe. Mkumbo kwa namna ambavyo...
Nimekusikiliza leo ukiponda nafasi ya ma DC na unapendekeza vyeo hivyo vifutwe, niliposikia ukisema maneno hayo tu sikutaka tena kukusikiliza.
Huko mawilayani Wakuu wa Wilaya wana msaada mkubwa kwa wananchi, wananchi wana imani sana na wakuu wa wilaya, wao ndio wanaotuliza mambo ndani ya...
Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari.
Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo...
Utangulizi
Usimamizi wa fedha ni ujuzi muhimu ambao unaweza kuamua utulivu wa kifedha na ubora wa maisha ya mtu. Nukuu, "Ushike hela, halafu zipotee ghafla na watu wako wapotee, ukizishika tena sidhani kama utakua mjinga tena 😄 Yaani watasimuliana namna umekua na roho mbaya," inafafanua kiini...
AWESO AHITIMISHA VIKAO VYA IDARA KWA IDARA WIZARA YA MAJI, ASEMA TAASISI ZINAFUATA
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akihitimisha Wiki ya Vikao vya Idara kwa Idara amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi maji ili kuisaidia wizara...
Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu
Extravagancy of the highest degree
https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto tu unanisumbua.
Nikiwa shuleni nilifuata vizuri ile kanuni maarufu ya NENDA SHULE, SOMA KWA BIDII...
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali...
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2024/25: Muhtasari
Utangulizi:
Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2024/25, ikijumuisha ombi la kuidhinishiwa matumizi ya jumla ya shilingi trilioni 18.17. Kiasi hiki kimegawanywa katika matumizi ya kawaida na maendeleo kwa...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla shule hazijafungwa; tukitarajia kwamba malipo yangefanyika mapema au mara...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi, imewahukumu kwenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji na miaka 20 kwa kosa la utakatishaji fedha pamoja na kulipa fedha Sh milioni 35 walizoiba na pia Mahakama imeamuru kutaifishwa kwa mali zao.
Waliohukumiwa ni Kazil Hamis @Kaftanyi (43) Mkazi wa Dar es salaam na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.