Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu.
Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
Naona Fei kila ikikaribia game ngumu anaibuka kutoka mafichoni na kuwahadaa Yanga kwa kesi isiyo na mashiko wala haimpi faida yeye zaidi ya anguko lake kimpira.
Na sisi wana lunyasi ikitokea Fei kutoka machakani tunahamisha focus yetu nakuanza kushabikia hii kesi kama vile tunampenda sana Fei...
MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini. Hakuna aliyeshangaa Fei kuwekwa benchi na Adel Amrouche, kocha mpya wa Stars.
Watanzania wa leo wana...
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena.
Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
Salamu humu.
Michuano ya kimataifa inayoendelea sasa hivi kwa Simba na Yanga ambayo inaangaliwa na afrika nzima ilikuwa ni sehemu muhimu Sana kwa dogo Fei kuonyesha dunia kiwango chake na kujipima yeye mwenyewe je anaweza kwenda kucheza kimataifa au abaki humu matopeni.
Sijajua alikuwa na...
Picha: Fesal Salum 'Fei Toto'
Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda.
Picha: Majina ya kikosi kilichoitwa
Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa...
ALIPOOMBA au tuseme walipoomba marejeo kuhusu kesi yake ya kujaribu kuvunja mkataba, upande wa Feisal Salum ‘Fei Toto’ umepigwa chini tena. Inaonekana kwamba uamuzi wa awali wa kamati iliyokaa kujadili kesi yake umebakia vile vile kwamba Fei ni mchezaji wa Yanga.
Nini kinafuata kwa Fei Toto? Ni...
Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah.
Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yang imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavvo na...
Kwa mara nyingine naona Bwana Fei Toto kawasilisha barua TFF ya kutaka kuvunja mkataba na Yanga. Mpaka sasa nafikiri yeye na watu wake washashtuka na kuona kuna mahala waliteleza ndio maana wanakwepa kupeleka mashtaka CAS.
Kwa akili ya kawaida baada ya review yake kugonga mwamba, alitakiwa...
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.
Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.
Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.
Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
Kijana amevurugwa kichwa, wenye hela wamemvuruga moyo, pepo la fedha nyingi za ghafla likamrukia shingoni.
Hapo alipofikia Sasa hahitaji msaada wa wanasheria bali wanamaombi ili kumtoa pepo la tamaa na choyo lililomfunika. Wanasheria watamharibia zaidi kipaji chache.
Fei Toto anahitaji watu...
Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿.
Kivipi?
Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo na mfano kwa Wachezaji mbalimbali kuvunja mikataba yao bila utaratibu.
"Mbona Fei alivunja?" Kauli...
Juzi kabla ya marejeo(Review) ya kesi ya Fei Toto dhidi ya Young Africans kuna baadhi ya wachambuzi nzala walimhoji kwa makusudi Mama yake Fei Toto ili kuishinikiza kamati ya TFF inayohusika na kesi hiyo ije na matokeo tofauti na yale ya awali eti tu kwa kuwa Mama yake analalamika kuwa mwanae...
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo mengine shauri la mapitio (Review) ya uamuzi wake wa tarehe 9 Januari 2023 kati ya Feisal Salumu na Klabu ya Young Africans kama...
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetumia muda wa saa mbili kumaliza kupitia upya shauri la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Klabu ya Yanga linalohusiana na mkataba baina ya pande hizo mbili.
Shauri hilo lilianza kusikilizwa saa 5:20 asubuhi na...
Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze
Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado...
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu...
Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS)
Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
Hii imekaaje karibu ili upate habari kwa kina kuhusu kinda huyu tokea visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) motto aliyekuzwa na urojo pamoja na vibagia. Kwasasa yupo kikaangoni akizungushwa huku na kule kupata suluhu ya mkataba wake na timu ya wananchi (Yanga Sc).
Baada ya kulazimisha kuvunja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.