Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amezungumza kuwa baada ya Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji kumtaka Fei Toto kurejea Yanga, mchezaji huyo hajarejea klabuni licha ya kushindwa katika shauri la kuvunja mkataba wake na Yanga.
Amesema baada ya hapo wao wanaendelea kumlipa mshahara na stahiki...
Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.
Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya Harrier nyeupe yenye namba za usajili Z 160 MW huku dereva akiwa ni mwenyewe Feitoto akitokea Fuoni kituo...
Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.
Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.
Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.
Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha...
SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu.
Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe kisiasa na kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Fei Toto...
TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao.
Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni nini kinafuata kwa wale wote (kama wapo) waliohusika na kufanya mazungunzo na mchezaji na hadi kumpa...
Moja kwa moja kweye maudhui:
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden amemuonya mchezaji Feisal Salum Fei Toto akikata rufaa Mahakama ya usuluhishi ya FIFA (CAS) atakuwa anapoteza muda tu.
Badala yake, Rage amemtaka Fei Toto akae chini tu na Yanga na awe mpole badala ya hiki anachojaribu...
Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo.
“Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na...
Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho.
Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.