Feisal Abdul Rauf (Arabic: فيصل عبد الرؤوف, born October 23, 1948) is a Kuwaiti-born Egyptian-American Sufi imam, author, and activist whose stated goal is to improve relations between the Muslim world and the West. From 1983 to 2009, he served as Imam of Masjid al-Farah, a mosque in New York City. He has written three books on Islam and its place in contemporary Western society, including What's Right with Islam Is What's Right with America, and founded two non-profit organizations whose stated missions are to enhance the discourse on Islam in society.
He has condemned the 9/11 attacks as un-Islamic and called on the U.S. government to reduce the threat of terrorism by altering its Middle Eastern foreign policy. Author Karen Armstrong, among others, has praised him for his attempts to build bridges between the West and the Muslim world. In 2010, Sufi Imam Rauf received national attention for his plans to build Park51, an Islamic Community Center, two blocks from Ground Zero in Lower Manhattan.
Once mwananchi always mwananchi.
Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa anajipigisha fyongo ili mradi asilete madhara kwenye klabu yake hiyo ya Zamani.
Kwa watu wanao jua kusoma...
Kutokana na ubora wa Max, Yao, Aziz Kii na Pacome ni dhahiri kunawakera sana SIMBA NA AZAM. Rai yangu ni Yanga ifanye kila iwezavyo kuwalinda hawa wachezaji ili kuepusha KUHUJUMIWA kama walivyofanya kwa Feisal Salum na Bernard Morrison miaka ile. Ingawa walichokitegemea katika mpango wa Feisal...
Ni wazi yanga hawakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida,
Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia 25 ya mauzo yake, na akiuzwa, kutolewa kwa mkopo ama kuvunja mkataba na kusajiliwa na timu yeyote...
Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka.
Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama...
Kutoka Yanga official page
Amekwenda Azam Sc.
-----
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC.
Feitoto ameuzwa kwenda Azam FC kwa dau ambalo halijawekwa wazi na ataungana na timu yake mpya baada ya dirisha la...
Wakati mgogoro wa Yanga na Feisal Salum ukionekana ukienda kumalizika, tukumbuke pia kulikuwa na mgogoro mwingine wa kimkataba kati ya Yanga na mdhamini wao mkuu SportPesa.
Ilionekana kutokana na ratiba ngumu za mashindano, mgogoro wa Yanga na SportPesa uwekwe pembeni kwanza hadi msimu...
𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗡𝗔 𝗙𝗘𝗜𝗦𝗔𝗟 𝗦𝗔𝗟𝗨𝗠𝗨 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗦𝗔𝗙𝗜
Uongonzi wa Yanga umefikia makubaliano na Feisal Salamu rasmi kwa kuachana kwa amani baada ya kumaliza mazungumzo yao leo.Yanga wamekubali kumuuza Feisal salumu kwenda kwa Klabu ya Azam Fc kwa dau la Tshs 270.4M kiasi ambacho Yanga sc walikiomba Kutoka kwa Azam...
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam.
Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili.
Hatua hiyo imekuja...
Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal!
Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu.
Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya mtu bila wewe kujua.
Hata hivyo:
Unaweza kukosa Elimu ya kutosha lakini ukajaaliwa kuwa na Akili...
Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili.
1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa.
2. Kuendelea kupata sympathy ili apate justification kwenye muendelezo wa kesi yake.
Msipanic sana wana Yanga...
Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS;
===
Picha: Feisal Salum (Fei Toto)
Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao:
Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
Inasemekana msimu ujao atachezea Simba SC huku jambo lake likiendelea kutafutiwa ufumbuzi.
Nimeumia sana, bora angeenda kuchezea hata Azam FC ila sio kwa Simba.
Mfano Madrid wanamtaka Jude Bellingham basi wamwambie ingia mitini halafu ukiwa ukiwa mitini nenda kwenye Shirikisho la Mpira Ujeruman uwaambie wavunje mkataba wake na Dortmund sababu huipendi na analipwa mshahara mdogo halafu Chama cha Mpira wavunje mkataba wake aende atakapo ambapo ni Madrid...
Nafikiria kwa ile form aliyokuwa anaionesha kipindi mpaka anaacha kucheza Yanga, hivi sasa kwenye Robo Fainali za CAF CC si angekuwa ni katika wanaotajwa vizuri kuliko akina Mwamnyeto na Bacca?
Feisal angekuwa sasa hivi ni lulu Africa, naamini miamba ya nchi za Kaskazini na zingine za Kiarabu...
Maamuzi aliyoyafanya feisal december muda ndo unatuonyesha yalikua yakijinga sana
Feisal ni kweli analipwa mshahara mdogo ila ni ukweli uliowazi ukitaka kuondoka kihuni vile ni timu chache zinaweza kama angekua ni mtu anayeona mbali angelinda kiwango chake na kukiongeza ili hata mkataba wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.