Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya mtu bila wewe kujua.
Hata hivyo:
Unaweza kukosa Elimu ya kutosha lakini ukajaaliwa kuwa na Akili...