Festo Dugange, also known as Festo John Dugange, is a Tanzanian politician. He serves as Deputy Minister, President's office public service management and good governance. He is the Chama Cha Mapinduzi member of parliament for Wanging'ombe constituency to which he was elected in 2020.
Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mazingira ya ujifunzaji kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini, kwa kuboresha miundombinu wezeshi katika shule za msingi na sekondari. Lengo ni kuhakikisha wanafunzi hao wanapata fursa sawa ya kusoma fani wanazozipenda bila vikwazo vya...
Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki, Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za kifedha zinazotolewa na Wizara pamoja na mifuko...
Kilio cha muda mrefu cha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Longido cha kutokuwa na bwalo la kisasa kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuahidi kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa bwalo jipya litakalokidhi mahitaji ya wanafunzi zaidi ya 3,000 wa shule hiyo.
Ahadi hiyo...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, anayeshughulikia masuala ya Elimu, amesema "Waajiriwa wote lazima wafanye kazi miaka mitatu kabla ya kuomba kuhama kituo cha kazi"
Pia soma
Halmashauri ya Chemba – Dodoma kuna sintofahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.