festo dugange

Festo Dugange, also known as Festo John Dugange, is a Tanzanian politician. He serves as Deputy Minister, President's office public service management and good governance. He is the Chama Cha Mapinduzi member of parliament for Wanging'ombe constituency to which he was elected in 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Festo Dugange: Serikali inaendelea kuimarisha Mazingira Kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Shuleni

    Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mazingira ya ujifunzaji kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini, kwa kuboresha miundombinu wezeshi katika shule za msingi na sekondari. Lengo ni kuhakikisha wanafunzi hao wanapata fursa sawa ya kusoma fani wanazozipenda bila vikwazo vya...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Festo Dugange: Serikali imetenga Sh Bilioni 200 kuwawezesha Wananchi Kiuchumi

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki, Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za kifedha zinazotolewa na Wizara pamoja na mifuko...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt Festo Dugange: Serikali itajenga Bwalo la Kisasa Shule ya Sekondari Longido

    Kilio cha muda mrefu cha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Longido cha kutokuwa na bwalo la kisasa kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuahidi kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa bwalo jipya litakalokidhi mahitaji ya wanafunzi zaidi ya 3,000 wa shule hiyo. Ahadi hiyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Festo Dugange: Hakuna utaratibu wa elimu bila malipo isipokuwa Serikali inatoa elimu bila ada

    Naibu Waziri wa TAMISEMI, Festo Dugange amefafanua kuwa hakuna utaratibu wa elimu bila malipo isipokuwa Serikali inatoa elimu bila ada
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange: Waajiriwa wote lazima wafanye kazi miaka mitatu kabla ya kuomba kuhama kituo cha kazi

    Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, anayeshughulikia masuala ya Elimu, amesema "Waajiriwa wote lazima wafanye kazi miaka mitatu kabla ya kuomba kuhama kituo cha kazi" Pia soma Halmashauri ya Chemba – Dodoma kuna sintofahamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…