Hatujaona ushujaa kama ule,askari mmoja kapigwa teke, mwingine kapigwa ngumi.
Lakini yule mtu alikuwa cornered. He was fighting his way out.
Lakini kama alivyosema Afande Muliro,ukumbi ulikuwa umeshajaa kwa hiyo wale wa kule nje uwepo wao ulikuwa ni kuleta fujo .
Mi bado ningependa kuona haya...