Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3.
Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika kuimarisha utendaji kazi wa vikosi mbalimbali ikiwemo Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa (RCO), pamoja na ofisi za Wakuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai katika wilaya za mkoa wa Mwanza.