The 2025 FIFA Club World Cup will be the 21st edition of the FIFA Club World Cup, an international club soccer competition organized by FIFA. The tournament will be played in the United States from June 15 to July 13, 2025. The tournament is planned to be the first under an expanded format with 32 teams, including the winners of the four previous continental championships.Manchester City are the defending champions.
Kikosi cha Mamelodi Sundowns imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo kwenye FIFA Club World Cup 2025.
Mamelodi imekusanya kiasi cha Tsh. Bilioni 5.2 baada ushindi, FIFA Club World Cup ukishinda unapata Tsh. Bilioni 5.2 na ukitoka sare Tsh. Bilioni 2.6.
FT. Ulsan HD FC 0-1 Mamelodi...
Kwa mara ya kwanza katika mashindano ya FIFA, waamuzi kwenye Kombe la Dunia la Klabu 2025 linalofanyika Marekani watakuwa wanavaa kamera za mwilini.
Kamera za Mwili kwa Waamuzi, Waamuzi watavaa kamera za mwilini ili kurekodi mtazamo wao wa moja kwa moja wa mchezo, na kuwapa mashabiki fursa ya...
Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.
Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.