DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kikosi cha Mamelodi Sundowns imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo kwenye FIFA Club World Cup 2025.
Mamelodi imekusanya kiasi cha Tsh. Bilioni 5.2 baada ushindi, FIFA Club World Cup ukishinda unapata Tsh. Bilioni 5.2 na ukitoka sare Tsh. Bilioni 2.6.
FT. Ulsan HD FC 0-1 Mamelodi Sundowns.
Mamelodi imekusanya kiasi cha Tsh. Bilioni 5.2 baada ushindi, FIFA Club World Cup ukishinda unapata Tsh. Bilioni 5.2 na ukitoka sare Tsh. Bilioni 2.6.
FT. Ulsan HD FC 0-1 Mamelodi Sundowns.