fifa 2025

The 2025 FIFA Club World Cup will be the 21st edition of the FIFA Club World Cup, an international club soccer competition organized by FIFA. The tournament will be played in the United States from June 15 to July 13, 2025. The tournament is planned to be the first under an expanded format with 32 teams, including the winners of the four previous continental championships.Manchester City are the defending champions.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mamelod Sundowns Timu ya kwanza kushinda FIFA World Cup, imekusanya kiasi cha Tsh. Bilioni 5.2

    Kikosi cha Mamelodi Sundowns imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo kwenye FIFA Club World Cup 2025. Mamelodi imekusanya kiasi cha Tsh. Bilioni 5.2 baada ushindi, FIFA Club World Cup ukishinda unapata Tsh. Bilioni 5.2 na ukitoka sare Tsh. Bilioni 2.6. FT. Ulsan HD FC 0-1 Mamelodi...
  2. JamiiForums Tanzania Teknolojia Mpya kwa Waamuzi katika Mashindano ya FIFA

    Kwa mara ya kwanza katika mashindano ya FIFA, waamuzi kwenye Kombe la Dunia la Klabu 2025 linalofanyika Marekani watakuwa wanavaa kamera za mwilini. Kamera za Mwili kwa Waamuzi, Waamuzi watavaa kamera za mwilini ili kurekodi mtazamo wao wa moja kwa moja wa mchezo, na kuwapa mashabiki fursa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

    Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani. Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…