fifa

  1. S

    Sitashaangaa FIFA au CAS wakaamua kufanya uchunguzi wa kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga kabla ya kutoa uamuzi

    Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi ya Ligi nao wakaja na uamuzi wa kuahirisha mechi(mpango mkakati). Kwa msingi huo, FIFA au CAS...
  2. FIFA waifungie TFF kwa kuingiza siasa kwenye mpira

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa hakika, TFF ndio wanaoharibu mpira wa nchi hii kwa kuingiza siasa ndani yake. Kwa mujibu wa sheria za FIFA, ni marufuku mashirikisho ya mpira ambayo ni wanachama wa FIFA, ikiwemo TFF, kuingiza mambo ya siasa kwenye mpira. Kuna matukio kadhaa...
  3. A

    Mamlaka ya Refa ni makubwa mno, FIFA iyatazame upya

    Football ni mchezo uliotengenezewa udikiteta mwingi sana.. Moja ya udikiteta huo ambao kwangu nauona kama kero ni role ya refa mchezoni..mathalani: 1. Uamuzi wa Refa utakuwa wa mwisho katika mazingira yeyote yale. 2. Mchezo hauwezi kurudiwa au matokeo kubadilishwa hata kama itabainika...
  4. Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) lafungiwa na FIFA, wapoteza haki zake zote za uanachama

    Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) limefungiwa na FIFA kuanzia Februari 6, 2025, hadi itakapotangazwa tena, huku sababu za uamuzi huo zikiwa bado hazijawekwa wazi. Kufuatia kusimamishwa huko, FECOFOOT itapoteza haki zake zote za uanachama kwa mujibu wa Kifungu cha 13 cha Sheria za FIFA, na...
  5. FIFA yaifungia Congo Brazzaville Uanachama kwa muda usiojulikana kufuatia machafuko ya Kisiasa yanayoendelea nchini humo

    Shirikisho la soka Duniani FIFA limetangaza rasmi kuifungia Congo DR uanachama wake kwa muda usijulikana kutokana na machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini humo na kusababisha vifo. Kwa maana hiyo Congo DR timu yao ya Taifa, Vilabu vyao na Viongozi wao hawataruhusiwa kushiriki michezo yoyote...
  6. Pre GE2025 Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM

    Wakuu Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma, Pia: Rais Dkt...
  7. Mwanasheria wa Okrah sasa kumsaidia Baleke kuidai Yanga hela zake FIFA

    “Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa. “Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
  8. Saudi Arabia yatangazwa kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2034

    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha rasmi kuwa Kombe la Dunia la 2034 litaandaliwa na Saudi Arabia. Uamuzi huu ulitangazwa katika mkutano wa mtandaoni uliofanyika Zurich, Uswisi, chini ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino. Saudi Arabia ilikuwa mgombea pekee aliyewasilisha nia yake kwa...
  9. SI KWELI Yanga kufungiwa kufanya usajili na FIFA ni Propaganda za Waandishi

    Salaam Wakuu, Nimekutana na Taarifa kutokea Twitter ya Privadinho ikikanusha taarifa zinazoelezea sakata la Yanga kufungiwa kusajili sababu ya kushindwa kulipa deni ya Bechem United. Tazama hapa chini.
  10. Hatimaye Tanzania yaipiku Kenya katika FIFA - Football ranking - CAF Zone, Rasmi Tanzania na Uganda ndiyo Giants wa soka East Africa

    Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
  11. Fikiria kungetokea nini kama vilabu vya Simba na Yanga vingeshiriki michuano ya CLUB WORLD CUP

    Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA. Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32. Fikiria nchi yetu kwa timu hizi kubwa za Simba SC na Yanga SC zingepata bahati ya kushiriki ingetuweka...
  12. FIFA yaifungia Yanga kusajili kutokana na kushindwa kulipa madai ya Augustine Okrah

    VIA FIFA LEGAL PORTAL Young Africans Sport Club Miami, 11 November 2024 Ref. no. FDD-20161 Registration ban implementation Dear Madam, Dear Sir, We refer to the abovementioned matter, as well as the decision passed by FIFA in the matter ref. no. FPSD-15711 (the Decision) In this context, it...
  13. Jinsi ya ku Download PC GAMES FIFA, PES, Minecraft, Fortnite, Counter-Strike 2 & GO, Call of Duty: Modern Warfare II/III/Warzone, League of Legends

    Hellow watu wangu wa games. kwawale wanao penda games tu share website mbali mbali za kucheza na ku dawnload PC GAMES Naanza na hizi; https://oceansofgamess.com/ https://store.epicgames.com/en-US/free-games https://store.steampowered.com/ https://www.g2a.com/ https://www.softpedia.com/
  14. Muda umefika FIFA kuhamishia makao makuu yao Tanzania

    Kila mtu ni mchambuzi wa soka. Kila mtu anajua sheria za FI FA Watu wanakula na kuishi kupitia mpira. Tunasubiri nini
  15. Hivi Rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa Yanga kweli?

    Hapo vip! Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?😀😀😀😀
  16. FIFA yatishia kuiondolea Uanachama Israeli

    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesitisha kuiondolea uanachama Israeli na badala yake imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ubaguzi yaliyotolewa dhidi ya maofisa wa Soka wa Palestina. Jopo kuu la FIFA linalosimamia utawala litachunguza “ushiriki wa timu za Israeli zinazodaiwa kuwa katika...
  17. FIFA yaipa Yanga siku 45 kumlipa Okra Magic Tsh 66,612,000.00 na siku 30 kulipa fine ya Tsh 8,190,000.00

    Katika uamuzi wa hivi karibuni kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (FIFA Dispute Resolution Chamber), Yanga SC, moja ya klabu maarufu za mpira wa miguu nchini Tanzania, imetakiwa kumlipa mchezaji wa zamani wa Bechem United, Augustine Okrah, kiasi cha dola za Kimarekani 24,400...
  18. Je, ZFF haiitambui kalenda ya FIFA?

    ZFF ni Zanzibar Football Federation kwa Kiswahili ni Shirikisho la Soka la Zanzibar sawa na TFF. Kimenishangaza ligi ya Zanzibar inaendelea wakati huu ambapo mechi za timu za mataifa zikiendelea. Timu za Simba na Yanga zimecheza mechi za kirafiki kwa angalizo la kutooneshwa ama kutangazwa kwa...
  19. Okrah aiponza Yanga, yapewa siku 45 kuilipa Bechem United Mil. 216

    Shirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho wa Augustine Okrah kutoka Bechem United kwenda Yanga. FIFA imeitaka klabu ya Yanga kulipa pesa hiyo...
  20. J

    Rais wa FIFA amlilia Hayatou atuma salamu za rambirambi

    Rais wa Shirikisho la Kimataifa ya Soka (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa shirikiho hilo la Afrika, Issa Hayatou. Hayatou alifariki dunia jana Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77, huku akikumbukwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…