fifa

  1. D

    TFF na ZFF zimejaa Rushwa, tuzidi kuziripoti moja kwa moja FIFA na CAF

    I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa. Nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct to fifa. Huu mpira wetu utakufa. Wamejaa watu wa ovyo sana in these organisation. na amna mtu ana...
  2. Suley2019

    FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

    Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024. Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali. Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege? Kikosi cha Simba kinachoanza Kikosi...
  3. SAYVILLE

    Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
  4. D

    FIFA waja na Kituko cha Karne

    Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023. tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi ya MLS Messi amefunga magoli mawili tu. Kwa kweli wameanza kufedheheka.
  5. Shark

    Hatimae Simba SC yaondolewa adhabu ya Kusajili na FIFA

  6. Vincenzo Jr

    Tetesi: Ismael sawadogo kuishitaki Simba SC FIFA

    Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Simba SC, Ismaël Sawadogo amesema anaelekea Shirikisho la Soka Dunia FIFA kwa ajili ya kuishitaki klabu ya Simba SC kwa kutomlipa stahiki zake. Klabu ya Simba iliuvunja mkataba wa kiungo huyo na bado anadai stahiki zake za kimkataba.
  7. kavulata

    "Try again" amefarijiwa na Rais wa FIFA Infantino. Kiaina

    Mechi ya finali ya African football league kati ya Mamelods na Wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa na kukutana USO kwa USO na Rais wa FIFA huko. Try again amesema infantino alimwambia kuwa kuwa kwenye...
  8. SAYVILLE

    Rais wa FIFA amuuliza Hersi "Hivi nyie ndiyo mliwaibia pesa wale Wanigeria"?

    Leo Rais wa FIFA aliyekuja kuiona timu yake ya Simba ikipambana na Al Ahly alikwenda katika kituo cha mafunzo cha TFF na Rais wa Yanga, Hersi Said akaona huyu bila kumfuata huko huko aliko naweza nisije kumuona tena maishani mwangu. Basi akazamia hivyo viwanja vya TFF, Infantino akienda huku...
  9. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro ateta na Uongozi wa wa FIFA na CAF

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ATETA NA UONGOZI WA FIFA NA CAF Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA ) katika Ukanda wa CECAFA, Andrea Silva na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
  10. Sultan MackJoe Khalifa

    Rais wa FIFA Gianni Infantino na Mo Dewji kuzungumza baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    Duru za habari za michezo zimeripoti kuwa baada ya ufunguzi pamoja na mechi kati timu yenye hadhi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano mbalimbali hapa Duniani Simba sports club Vs Al ahly. Baada ya ufunguzi patakua na mazungumzo kati ya Rais wa FIFA Gianni Infantino, Rais wa CAF Patrice...
  11. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Baada ya Kumsajili ili Kuwakoga Wengine na Kumlazimisha aibusu Logo yao mbaya, sasa anataka kuwapeleka FIFA kwa Kukiuka Malipo ya Kimkataba

    Nyie mlidhani kwakuwa ni Mlevi na mvuta Bangi za Kwao Kinondoni Biafra, Kawe Kijiwe chake maarufu cha Unga Unga na Tandale Gereji wa Dula basi hajui Haki zake na Sheria hivyo mtamburuza tu mtakavyo? Haya sasa kawapeni hadi mwisho wa Mwezi huu wa Oktoba, 2023 mumlipe Fedha zake anazodai na...
  12. CAPO DELGADO

    FIFA yaishika pabaya Simba, ratiba ngumu kwa mpambano wao na Al Alhy

    WAKATI Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka kwenye mtego kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na ratiba ya mechi za timu za taifa ilivyo. Hivi sasa ligi nyingi...
  13. GUSA ACHIA BAHASHA GOLI

    Yuko wapi yule jamaa anaepeleka mashtaka fifa ?

    Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
  14. R

    FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

    Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034. Kombe la Dunia la Soka...
  15. MSAGA SUMU

    Kabwili akiwasha Rwanda, anaidai Rayon Sports mil 600. Kesi iko mezani FIFA

    FIFA has sanctioned Rwanda's CAF Confederation Cup campaigners Rayon Sports from registering new expatriate players. The directive from the world football governing body came after the club refused to pay Tanzanian goalkeeper Ramadhani Kabwili who left in April. The player joined Rayon from...
  16. JanguKamaJangu

    FIFA yamsimamisha Rais wa Shirikisho la Uhispania kwa siku 90

    Uamuzi huo umechukuliwa na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na kitendo chake cha kumbusu mdomoni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Uhispania, Jenni Hermoso Barua ya FIFA kwenda kwa Shirikisho la Soka la Uhispania (RFEF) imeeleza kuwa maamuzi hayo...
  17. GENTAMYCINE

    Wakati Skudu sasa amewazimieni Simu jitahidini mumlipe Morrison kabla hajaenda FIFA na Mkafungiwa Maisha

    Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki. Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa Kutunga Nyimbo za Amapiano na Kuzicheza tu huko huko Kwao Bondeni.
  18. D

    Mrejesho FIFA, I need help

    Naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
  19. D

    Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

    Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku. Email :integrity@fifa.org Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa...
  20. Kichuguu

    FIFA Women's World Cup 2023 | Kombe la Dunia kwa Wanawake

    Mashindanoa ya FIFA kombe la dunia la wanawake litaanza kesho Alhamisi July 20, 2023 na kumalizika August 2nd. Round za kwanza zitachezwa Sydney, Australia na Auckland, New Zealand huku fainali ikichezwa Sydney Australia. Mashindano haya mwaka huu yamehusisha timu 32 tofauti na huko nyuma...
Back
Top Bottom