Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania alipata nafasi kutembelea Museum ya FIFA pale Zurich. Msanii Diamond ametua Uswizi mahususi kwa ajili ya show yake ambayo ameipa jina European Tour.
Baada ya kuingia Museum ya FIFA amepewa zawadi ya kikombe kidogo pamoja na jezi yenye jina lake Platnumz no 9...
Solidarity Rule ni sheria ya Fifa inayosema kwamba kama mchezaji atauzwa kwenda klabu ya ligi kubwa duniani basi asilimia 5 ya mauzo ya mchezaji huyo itagawanyishwa kwa timu zote alizochezea akiwa na miaka 12 hadi 23.
Hata klabu ya Simba itanufaika na sheria hiyo ambapo African Lyon, TP Mazembe...
Katika kukuza michezo barani Afrika,Rais wa FIFA ameanzisha kampeni ya kuhakikisha kwamba kila nchi mwanachama wa wake wa bara la Afrika inajengewa uwanja mpya wa kisasa ambao utakuwa mali ya shirikisho
Kwa mujibu wa Rais wa TFF yeye amependekeza uwanja kujengwa mkoani yaani nje ya Dar na...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemfungia aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kujihusisha na soka kwa Muda wa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha. hukumu hiyo inamtaka Malinzi kutojihusisha na shughuli zote za kimichezo kuanzia kwenye...
Model: LENOVO IDEA PAD Z585
Processor: AMD RADEON A10-4600M (pic attached)
Harddisk: 500Gb
Ram: 4Gb
Screen size: 15.6inch
Dvd slot: Available
Battery: 5hrs
Display 15''
Runs on Windows 7 Professional ACTIVATED
PRICE : Tsh 550,000 Negotiable
Call or Text 0713 985936
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.