Leo napenda kuongelea Sheria ya 15 ya FIFA inayohusu "Member associations’ statutes"
Member associations’ statutes must comply with the principles of good governance, and shall in particular contain, at a minimum, provisions.
relating to the following matters:
(a) to be neutral in matters of...
Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda....
"Nawashauri Yanga SC waachane na kutaka Kukata Rufaa huko CAS kwani wanapoteza...
Hebu tuambieni. Kwanini penalty inapigwa watu kama wote wamo ndani!?
The referee places the ball on the penalty mark (the spot) and it must remain stationary. The goal posts and net must also be still (e.g. not moving). Next, the match official will identify and confirm which player is the...
Kifuatiwa kitendo cha Serikali ya Kenya kuingilia Shirikisho la Mpira Kenya (FKF) na kumsimamisha Rais wa shirikisho ilo ni wazi FIFA. Mida wowote wataisimamisha Kenya , endapo Fifa wataisimamisha Kenya hapo Kesho basi timu iyo itatoa zawadi ya point tatu kwa kila timu iliyo kuwa nayo ktk...
Leo kutakuwa na Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 pale Qatar, kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo katika dimba la Benjamin Mkapa hapa Dar Es Salaam.
Taifa Stars wataingia dimbani wakitafuta point 3 muhimu ili waendelee kutengeneza mazingira mazuri ya kufuzu kombe la Dunia.
Ni mchezo...
Mchezaji huyo alisajiliwa dirisha dogo January 2021 lakini kutokana na SImba SC kushindwa kukamilisha Usajili wake katika ngazi ya CAF...Makolo FC wakaamua kunvunjia mkataba mchezaji huyo baada ya kuona asingeweza kuwasaidia kwenye michuano ya CAF.
Huvyo Doxa akabaki akiwa hana timu wakati huo...
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.
GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo...
Tanzania(Taifa stars) kupambana tena na Benin kwa mara hii wakiwa ugenini Siku ya Jumapili Oktoba 10 kuanzia saa 10 za jioni, katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 nchini Qatar.
Stars ilipoteza nyumbani dhidi ya Benin kwa kufungwa bao 1 kwa 0 katika mchezo uliopigwa dimba la Mkapa...
Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka kimataifa kabisaaaaaaa hata FIFA wanaweza kulitumia katika orodha ya anthems za World Cup 2022.
Tanzania(Taifa stars) and Benin meet at Mkapa Stadium on Thursday in a battle between two sides at the top of their World Cup 2022 qualifying group.
The sides are level on points and goal difference ahead of their double-header this week, with Tanzania set to travel to Benin on Sunday.
Another...
Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa.
Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji.
Taifa
Nafasi Africa...
Jamaa alicheza mechi ya kirafiki na Malawi akatoa assist moja, akangushwa na kusababisha foul iliyozaa goal, tukawapiga malawi goal 2 ikasaidia kidoogo kupanda ranks za Fifa
Jamaa kacheza huko ngara kacheza Geita Gold, Mbeya City akiwa kama Mtanzania baada ya kufika simba anaambiwa siyo...
Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.
Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba...
Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA, lipo katika kufanya majaribio ya mabadiliko ya baadhi ya sheria ambazo huwenda zikaja kuanza kutumika siku za usoni huku lengo kuu ikiwa ni kuuboresha zaidi mchezo huo pendwa.
Majaribio hayo yameanza kufanywa kwenye Mashindano ya Vijana...
Rais wa Shirikisho la Kimatiafa la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza timu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/2021.
Katika barua yake kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia, Rais Infantino alisema kuwa...
Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.
Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko Qatar, Mpaka Comoro na South Sudan wamo ila Jumuhuri ya Kiislamu Iran haipo.
Kuna tatizo gani ndugu...
Hii ni somo fupi iliyoambata na mifano halisi juu ya sheria namba 11 (kuhusu offside).
Ni moja ya sheria inayowapa shida watu wengi sana kuitafsiri. Mfano kwenye mechi ya Yanga vs Mwadui kuna watu wanasema ile ni offside na wengine wanasema ni goli halali. Ukipitia hii video itakupa mwanga...
Jambo wakuu!
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Naomba niwatonye jambo moja la hatari linaloinyemelea soka ya Tanzania endapo TFF hawatachukua hatua zinazofaa kuepushia mbali hatari hii.
Mechi iliyopita kati ya Simba na Yanga ilishindikana kuchezeka baada ya uongozi wa klabu...
Wakati wako busy kusajili wachezaji wa bilioni 1.2 na mwingine wa billion 5 huko South Africa huku itaaarifiwa pia wanaenda kutoa billions 12 kuchukua mwingine toka Misri team ya yanga fc mwezi ujao itashushwa daraja baada ya tarehe 3 july pale watakapogoma kuingiza team uwanjani vs simba.
Hii...
Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali.
Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.