Wizara ya Michezo na TFF wameshirikiana kutudharau wapenzi wa mpira wa miguu kwa kufanya mambo ya kijinga na kipuuzi kabisa.
Kwanza wamegoma kuweka bayana kwanini mchezo ulisogezwa mbele kwa masaa mawili huku wakijitetea kwa hoja ya kitoto na kipuuzi "tulifanya hivyo kwa nia njema". Hiyo nia...
Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki?
Yani...
Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
Wadau mbalimbali wa mpira wa miguu barani Ulaya wanazidi kupinga kuanzishwa kwa Super League.
FIFA na UEFA zimekosoa vilabu vyote 12 kwa kuweka maslahi ya pesa mbele kuliko mpira na heshima ya mashabiki.
Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni, kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100.
Ngoja tuone ukweli ni upi.
Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums
Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031?
Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya.
Uganda imetupa dili la bomba la...
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limeifungia Chad kushiriki michuano ama michezo yoyote ya kandanda ulimwenguni la baada ya serikali ya nchi hiyo kuingilia kati namna ambavyo shirikisho la soka nchini humo linavyofanya kazi.
Hatua hii imekuja baada ya waziri wa vijana na michezo kuvunja...
The long-term development of football in east Africa received a substantial boost with the inauguration of a new FIFA Regional Development Office in Kigali, Rwanda, following a signature and opening ceremony that included FIFA President Gianni Infantino, the Minister of Foreign Affairs and...
Kutokana na sakata la usajili wenye utata wa mchezaji Shiza Kichuya kutoka Misri kwenda Simba, tumeambiwa hapa juzi tu kwamba Simba ilipigwa faini ya takriban milion miatatu na mchezaji tajwa kufungiwa miezi sita.
Lakini namuona Shiza Kichuya kwenye mechi ya Namungo dhidi ya Azam hapa ameingia...
Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba
1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game, mpira dont touch my shoes, mpira burger, pizza, sambusa, biriani, juices, maziwa,asali e.t.c Inapangiwa...
The latest classification has been released six months after the previous due to the coronavirus pandemic which forced suspension of soccer actions
Kenya moved up by a position while Uganda and Tanzania’s retained positions in the latest Fifa rankings.
Harambee Stars now ranked106 from the...
Mzigo ushatoka wa FIFA 2021 tayari upo sokoni
Nina play station ila nimeiacha nyumbani kwajili ya watoto, kwa mwezi ujao nitakuwa na likizo ya kikazi ntasafiri kwenda kijijini (kuna umeme) sitaweza kuja nayo
Napenda kucheza game ya mpira ya FIFA so nataka kununua CD ya FIFA 2021 nadhani...
Bodi ya uongozaji mpira wa miguu duniani FIFA imeidhinisha programu nukushi (App) iliyotengenezwa mahususi ili kusaidia wachezaji kuripoti vitendo vya kupanga matokeo kabla ya mchezo.
Programu yenye kitufe chekundu, ambayo inamilikiwa na umoja wa wachezaji duniani (FIFPRO) itasambazwa kwa...
Wewe ni mwekezaji tuu, na unahisa sizizozidi 49% hivyo Simba haiwezi kuwa Mali yako completely na kufanya utakalo bila ridhaa ya wengine.
Nani kakutuma umpigie kampeni Magufuli katika shughuli rasmi za club bila ridhaa ya wanachama? Club yetu haina itikadi ya kisiasa wala kidini hivyo ukome na...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika.
Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
Wakuu bila kumumunya maneno kuna baadhi ya wana JamiiForums hasa wa vyama vya upinzani wana uelewa mdogo sana.
Uwezo wao wa ku reason mambo ni mdogo sana.
Wametyuni akili zao kwenye kushabikia siasa bila kukielewa kile wanacho kishabikia.
Wamekariri katiba na baadhi ya vifungu vya sheria ili...
Wachezaji wanaovua jezi zao kwenye nia ya kupinga ubaguzi wanastahili pongezi na sio adhabu, kwa mujibu wa Rais wa shirikisho la soka Duniani , Gianni Infantino.
Kumbuka kwenye kanuni za soka mchezaji akivua jezi ni kosa na anadhibiwa kwa kadi ya njano.
Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inachezwa na timu mbili, kila moja ikiwa na Wachezaji wasiozidi 11, mmoja wao ni Kipa. Mechi haiwezi kuanza ikiwa timu yoyote ina Wachezaji chini ya 7
Kiwango cha juu cha kubadili Wachezaji wakati wa mechi kwenye...
Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mpira unatakiwa uwe wa Mviringo wenye Mzingo/Mzunguko wa Sentimita 68 hadi 70 (Mpira Namba 5), ukitengenezwa kwa ngozi au malighafi yoyote inayofaa
Mwanzo wa mechi, mpira unatakiwa uwe na uzito usiopungua Gram 410 na...
Kwa mujibu wa Sheria hizo za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inaweza kuchezwa kwenye Uwanja wenye nyasi asilia au za kutengeneza ila nyasi za kutengenza lazima ziwe za rangi ya Kijani
Uwanja wa kuchezea lazima uwe wa umbo la Msatili ukiwa umewekewa alama za mipaka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.