Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake.
Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati...