fikra

  1. BigTall

    Vijana waaswa kuondokana na fikra mgando wakihitaji kufanikiwa kimaisha

    Imeelezwa kuwa tatizo la kubwa la baadhi ya vijana toka familia zenye mazingira magumu kutojikita kuanzisha miradi ya kiuchumi ni kutokana na kujinyanyapaa wenyewe na kuwa na fikra mgando za kukata taamaa kama hawawezi kufanikiwa kiuchumi hata kama wakiwezeshwa . Akizungumza katika Ukumbi wa...
  2. sky soldier

    Deep thinking: Utu wako uujuao wewe ni tofauti na matoleo tofauti ya utu wako katika fikra za watu wengine. Ujifikiriavyo sivyo uonwavyo!

    Maisha ya mtu yeye pekee ndie anaeweza kucheki muvi nzima ya Maisha yake kuanzia kumbukumbu, tabia, siri, fikra, hisia, mahusiano, mwili, udhaifu, anachopenda, n.k. katika muvi hio watu wataaambulia clips za hio muvi ama picha mnatona screenshots zitazojenga toleo lako la lengine katika fikra...
  3. Mohamed Said

    Fikra ya documentary: Historia ya Chama cha Makuli wa Dar es Salaam (Dar es Salaam Dockworkers' Union)

    FIKRA YA DOCUMENTARY: DAR ES SALAAM DOCKWORKERS' UNION (CHAMA CHA MAKULI WA DAR ES SALAAM) 1947 Leo nimetembelewa na mwandishi kijana Charles Michael kutoka Morogoro. Charles ni muhitimu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambako amesomea utengenezaji wa filamu na ni mwandishi wa BBC. Alinipigia...
  4. B

    Vijana kachukueni Pasipoti zenu Uhamiaji mtawanyike Duniani; kusubiri ajira na uteuzi ni utumwa wa fikra

    Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
  5. Ileje

    Tanzania tunaathirika na udhaifu wa fikra (Inferiority Complex) wa viongozi wetu wakuu

    Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya kuapishwa hotuba yake rasmi kama Rais alitamka kwa msisitizo kuwa yeye ni Rais mwanamke! Hali...
  6. Eric Cartman

    Polepole endelea na shule yako: Msingi wa maendeleo ni fikra pia

    Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu. Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya mile million 100 na sayari yetu ilipo na scientific reasoning ya hali ya juu ilitumika ili kuweza...
  7. winnerian

    Maendeleo yanaanzia kwenye fikra chanya na huru

    Tanzania hatuna uwezo wa kutengeneza karatasi sembuse uzi wa kishona nguo. Kwa miaka 60 fikra zetu zimeshikiliwa na siasa. Sio wananchi pekee bali kuanzia viongozi wa ngazi ya juuu kabisa hadi chini. Fikra chanya na huru ndio maendeleo yenyewe au la tuamue kutumia mfupi wa kijima kama China...
  8. LODSI

    Miaka 60 ya uhuru wa Tanzania: Ni uhuru bila mjeredi wa mkoloni lakini ni utumwa wa maisha katika ukombozi wa fikra

    Takribani miaka 60 tangu Tanganyika tupate uhuru wetu na ni takribani miaka 57 tangu Tanganyika iungane na Zanzibar tukawa TANZANIA ya leo, kwa miaka yote hiyo 60 kuna namna ambayo mtu mmoja mmoja, familia na serikali kwa ujumla ilitakiwa kichangua njia sahihi ya kuendesha maisha ya watu wake na...
  9. J

    Kiukweli bado tuko kwenye enzi za Zidumu Fikra za Mwenyekiti. Hii ni kwa vyama vyote

    Hakuna chama chochote cha siasa hapa nchini ambacho Fikra za mwenyekiti wake zinaweza kupingwa ama kupuuzwa. Walau kwa mbali CCM wanaweza kum-challenge mwenyekiti wao kwenye vikao, tuliona kijana mmoja wa UVCCM akimpinga Hayati Magufuli kwenye mkutano namna David Silinde anavyopendelewa kwenye...
  10. Heater

    Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

    Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma) Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana.. Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
  11. Political Jurist

    CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  12. N

    Fikra mpya na mageuzi ya kiutendaji yanahitajika TAZARA

    Ndg zangu watanzania, ninapenda kutoa maoni yangu kwa shirika la reli Tanzania na Zambia yaani Tanzania Zambia Railway( TAZARA). Usafirishaji wa abiria umekuwa changamoto kubwa kutokana na ajali za mara kwa mara zinazozipata treni za mizigo na hivyo kupelekea treni za abiria kushindwa...
  13. Jeef George

    Maisha bila umasikini wa fikra

    Habari karibu katika andiko hili la story for change,Lenye kuhamasisha jamii kuelimisha na kubadili mitazamo hasi kuwa chanya yenye kuleta msukumo wa jamii iliyolala katika wimbi la umasikini na kuamka katika mafanikio ya utajiri na jamii yenye kipato. Ndimi mwandishi wako Ndugu jeef george JF...
  14. Niker

    SoC01 Fikra zangu juu ya wachora ramani wa kijiji chetu

    Mimi ni mwanakijiji kutoka kijiji kile kilicho staarabika, naam ndio ustaarabu huu ambao vijiji vingi kama si vyote juu ya ardhi hii ya ulimwengu huutumia, nakiri kwamba kijiji nitokacho husifiwa kuwa na watu wakarimu na wachukiao shari, kwao vita na malumbano ni jambo la kihistoria, lilitokea...
  15. Ntiyakama

    SoC01 Afya ya Fikra - Amani ya Maisha

    "Amenikosea sana | nimekasirika mno kwa sababu yake | amenikwaza kwa kweli | sikutarajia kama angalinihuzunisha namna hii | amenivunja moyo kabisa | ameniondolea amani yangu" Katika mkoa mmoja, nilikuwa nikitafuta chumba cha kupanga (niliambatana na rafiki zangu wawili). Tulipita nyumba...
  16. Prof Sankara

    SoC01 TEHAMA inakuza au inadumaza fikra kwa watoto?

    "Mapinduzi yanaletwa na watu, watu wanaofikiri kama watu wa vitendo na kutenda kama watu wenye fikra” aliwahi kusema Rais wa Ghana Nkwame Nkuruma wakati wa uhai wake. Maendeleo Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) yamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Watanzania. Fikira zetu zote...
  17. T

    SoC01 Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima

    “Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”. Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya. Andiko hili litaangazia juu ya ukombozi wa fikra. Kama ifuatavyo; Mtaji wa kwanza wa Maendeleo binafsi ni Ukombozi wa...
  18. JACKLINE CELESTINE KITALE

    SoC01 Umri sio Kigezo Cha kutuzuia tusifanye mabadiliko katika nchi yetu

    Siku zote kinachotufanya tushindwe maishani, ni ile tabia kujiona mdogo na hivyo huwezi kufanya chochote. Pale unapojichukulia kuwa wewe ni mdogo, huna sifa, ni dhaifu, na huwezi kufanya Jambo fulani, unakuwa unakosea. Na hii ndio sababu vijana wengi wa kitanzania huwa hatufanyi chochote au...
  19. Jakamoyo msoga

    Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

    Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa! Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu? Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi? Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote...
  20. etton1999

    SoC01 Uhuru wa fikra kufikia Utawala Bora

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” - Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” - Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
Back
Top Bottom