Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume naishi Dar najihusisha na ujasiriamali wa usafi na dawa kwa uchafu sugu katika Tiles,Masink,Vioo na Sofa.
Mwezi wa 10 mwaka jana nili hama kimakazi kutoka mkoani kuja Dar lengo likiwa ni kutafuta kazi ama shughuri yoyote ya kuni ingizia kipato maana...
Rwanda has launched door-to-door Covid-19 vaccinations for vulnerable groups, including the elderly.
Local leaders and community health workers will facilitate nurses by allocating the beneficiaries and collecting necessary data.
Beneficiaries can call a toll-free number or consult community...
Kuna sehemu niliona pameandikwa kwa lugha ya kiingereza
“Start with mindset”
-Anza na fikra-
Fikra ni namna unavyochukulia jambo, au ni mawazo ya mtu juu ya jambo fulani maishani au juu ya maisha kwa ujumla, fikra ni dhana.
Fikra na umasikini au utajiri vinaenda sambamba sana. Lakini lazima...
Mkutano wa uchumi na biashara kati ya Marekani na Afrika ulimalizika hivi karibuni. Wachambuzi wanasema kuwa serikali ya awamu mpya ya Marekani inayoongozwa na rais Joe Biden inatarajia kutumia fursa ya mkutano huo kudhoofisha ushawishi wa China barani Afrika. Hii ina maana kuwa Marekani...
Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu huwa wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi.
Malezi ya mtoto huonyesha...
NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA.
UTANGULIZI.
Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina idadi kubwa ya vijana ambao hawajaajiliwa pia bado kila mwaka idadi kubwa ya vijana wanahitimu...
Mada yangu itajikita zaidi kuonesha namna uhuru wa fikra na kusema unaweza kuwa ni chachu ya kuleta mapinduzi ya maendeleo ya kiuchumi kwa jamii, hususani ya watanzania. Hivo, natoa pia fursa kwa mada nyingine katika uwanda huu wa ‘uhuru wa fikra na kusema’ na namna zinavoweza kuleta mapinduzi...
Mungu ibariki Afrika.
Heshima kwenu ndugu zangu katika Jamii forum, washiriki katika Jamii forum page Facebook, Telegram na search engine zote zenye unapata kuunganishwa na nyuzi zote makini kutoka JF.
Kwanza kabisa napenda kuupongeza uongozi wa JF kwa kuleta mabadiliko na elimu pana...
"Kuna Viongozi nilifanya nao kazi katika chuo kikuu cha Dar es salaam , walikuwa wanaheshimika sana kwa fikra zao, lakini baadaye wakapa madaraka yakawabadilisha kifikra, na kuwa fikra zisizo na maadili "( Corruption of Mind)
- Prof Assad
👇🏿Atakuwa Huyu..
Hata mbwa anaweza kufundishwa na kufanya baadhi ya mambo, binadamu anapaswa kuwa juu ya kufundishwa.
ANAWAJIBIKA kwa kutumia akili yake mwenyewe kuzalisha maarifa sio kupokea tu maarifa.
Anayepokea tu maarifa pasipo kuzalisha maarifa bado ni mfungwa.
Ana ufungwa ule ule ambao anao mbwa...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka zote za udhibiti zihakikishe kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili maonesho mbalimbali zinakuwa na viwango vya kimataifa na pia bidhaa zisizo na viwango na bidhaa bandia hazipati nafasi ya kuingia kwenye soko la Tanzania.
Aidha, amewataka...
Makamanda wamechanganyikiwa.
Hawajui kama wanaenda au wanakuja.
Sasa sikilizeni nyie makamanda [ingawa najua hamna uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kutumia akili, lakini jitahidini kuelewa].
Ni hivi:
Rais Magufuli hatofikishwa huko kwenye mahakama ya kimataifa ya jinai.
Hatofikishwa kwa sababu...
Generally ni Tanzania kuwa kama Ulaya
Arusha kuwa Calfonia
Kigoma kuwa lango la biashara Maziwa Makuu
Mbeya kuwa Chicago
Dar kuwa Birmingham
Tabora kuwa Toronto
Zanzibar kuwa Dubai
Dodoma kuwa kama San Fransico
Singida kuwa kama London
Mwanza kuwa lango la biashara
Tanga kuwa kitovu cha...
Kwako Bwana/Bibi,
Husika na kichwa cha habari hapo juu! Mimi ni mtanzania wa kawaida sana niliyemaliza elimu yangu ya kunitosha tuu, ya kujua kusoma na kuandika.
Lengo la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa hapo zamani, Afrika ilikuwa na nchi kama Kaanani, Babiloni, Assyria, Sidoni, Tiro...
Sikuhizi watu wanaoana kwa Fashion bila kutumia fikra , binadamu sisi ni mbegu , hauwezi ukapanda mbegu ya Tunda chungu utegemee upate Tunda lenye ladha. Fanya tafiti kwanza ya ukoo wa mke au mume unayetaka akuoe au umuoe. Maana kuna dhambi na laana huwa zinatembea vizazi kwa vizazi , kuna...
Najaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza.
Kwanza tuliitana " ndugu" pili tuliamini katika uhai wa chama ndio tulisema " kidumu chama cha mapinduzi" na tatu tuliamini katika uwezo wa mwenyekiti wetu na tulifahamu kuwa yeye ni...
Pamoja na Afrika kuwa na utajiri wa rasilimali zote lakini waafrika si tu kwamba hawafaidi rasilimali zao lakini pia zimewatesa sana rasilimali zao kwa vita za kuchonganishwa.
Afrika imebarikiwa hata hali ya hewa ya Afrika inavutia lakini viongozi wetu wanaongoza kuwatukuza wakoloni wa kizungu...
IMETIMIA miaka 48 sasa tangu muasisi wa taifa la Zanzibar Abeid Amani Karume, kuuawa kikatili na wapinga maendeleo mnamo Aprili 7, 1972.
Wanaopinga maendeleo walimshambulia Karume na kumua akiwa kwenye makao makuu ya chama kilicholeta uhuru cha ASP ofisi ya Kisiwandui.
Tamko la Baraza la...
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.
Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.