filamu

  1. P

    SoC04 BASATA okoeni sanaa ya Tanzania

    Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha maudhui yanayowasilishwa kwenye jamii hayavunji maadili ya kitanzania kwa kufungia kazi za sanaa...
  2. Kijana SATIVA anayesemekana alitekwa na watu wasiojulikana kitendawili chake kinateguliwa na filamu ya IRIS?

    Kwa mlio wahi kuiona hii filamu ya kikorea mtakubaliana na mimi, Katika idara ya Usalama wa Taifa kwenye filamu hiyo kunaonekana kuwepo idara nyingine ya usalama wa taifa itwayo NATIONAL SECURITY SERVICE (NSS), Hii ni idara ya siri inaofisi na miundo mbinu yote, agents wa kutosha na tactical...
  3. SoC04 Uwekezaji katika tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza nchini Tanzania

    UTANGULIZI Miaka 15 iliyopita tulikumbana na wimbi kubwa la kushuka kwa tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza hapa nchini Tanzania,sababu kubwa hasa ilikuwa  Ni mabadiliko ya kiteknolojia ya namna ya uwasilishaji wa filamu na michezo ya kuigiza kwa jamii na hivyo kunifanya kupoteza mwelekeona...
  4. SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  5. F

    SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  6. Mbunge Shabiby: Filamu za kichawi zinaharibu watu kisaikolojia

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Jijini Dodoma leo May 23,2024 ameiomba Wizara hiyo kupitia Bodi ya Filamu Tanzania kuziangalia upya Filamu zenye maudhui ya ushirikina...
  7. Kwanini filamu za bongo hazina mvuto kama miaka ya nyuma wakati wa Kanumba?

    Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD: Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio utasikia swala hili na kila mmoja analizungumzia ila chanzo haswa hakijulikani. Wakuu ni kwann...
  8. W

    Uongo upi usio na maana umewahi kutanana nao kwenye Filamu?

    Filamu zote ni maigizo na sio uhalisia halisi wa maisha. Lakini katika ulimwengu wa filamu, mara nyingi tunakutana na uongo ambao hauna maana. Mimi nilikua nafuatilia sana movie za kihindi ila kwa sasa huwezi nikuta naangalia tena kwa sababu aisee wale jamaa ni waongo mpaka mtu unaweza kujiona...
  9. Greatest Monologue | Hotuba | Risala Bora katika Filamu

    Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message n.k. Pamoja na hayo, ikitokea filamu imechagizwa na monologue bora au kwa lugha nyepesi speech...
  10. Filamu Zilizotabiri ‘Future of Humanity’ kwa Usahihi

    "Hakuna mwenye uwezo wa kutabiri mambo yatakayotokea wakati ujao kwa usahihi isipokuwa Mungu pekee". Hivyo ndivyo wanasema, maana yeye pekee anatambua mwanzo na mwisho wetu. Wataalamu wengi wamejaribu kufanya hivyo, wengi wameaibika na wengine kuapa kabisa kamwe hawawezi kuja kutabiri, baada...
  11. Baada ya 'Royal Tour', Serikali sasa yaja na filamu nyingine iitwayo 'Amazing Tanzania'

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Bungeni leo wakati akiwasilisha Hotuba ya kuhusu Makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi yake kwa mwaka 2024/25 amebainisha kuwa Serikali kutokana na mafanikio ya programu ya The Royal Tour, Serikali imetengeneza filamu nyingine yenye hadhi ya kimataifa ya...
  12. Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, Yapewa Kongole Kuhamasisha Utalii Kulikopelekea Kuongezeka Watalii Wanaotembelea Tanzania

    Wanabodi, Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, imepongezwa kwa kuchangia kuhamasisha utalii nchini kulikopelekea kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania, kutoka watalii 1,454,000 mpaka watalii 1,806,000, kati ya Desemba 2022 na Desemba 2023, ongezeko ambalo limechangiwa, Pamoja na...
  13. Kisa cha usaliti baina ya Lowasa na rafikiake kinasisimua Sana. Miaka ijayo kitaigizwa kwenye filamu. Ni kisa cha Maisha

    Kwema Wakuu! Kisa cha Lowasa na Rafikiake na usaliti mkubwa uliotokea ni kisa kitakachoishi kwenye taifa hili kwa karne na karne. Huwaga visa vya usaliti na mapenzi vinadumu sana. Historia na Historia zitapita lakini visa vya usaliti havipiti kwani ni visa vya maisha. Kisa cha Yesu na Yuda ni...
  14. Naamini Watanzania walioitazama filamu ya Royal Tour hawafiki elfu 10

    Niko Dar es salaam hapa tangu Royal Tour itoke. Sijawahi kusikia mtu yeyote au kikundi cha watu mtaani wakihadithia filamu ya Royal Tour. Mimi mwenyewe sijawahi kuiona, only kwenye vi clip vya sekunde 30 ndani ya safari channel ndo naviona. Nilijaribu kuwauliza vijana wenzangu kazini kama...
  15. Mwanamke muigizaji wa filamu za ngono (porn) atalii Iran, akaribishwa kwa mbwembwe

    Tafuteni hela, hizi sheria kali za kidini huwa dhidi ya maskini tu...
  16. Filamu ya Royal tour yaongeza Watalii TAWA, Yatekeleza Miradi 6 kwa upande wa Elimu

    TAWA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MHE. RAIS SAMIA WILAYANI SERENGETI, YAGUSA MAISHA YA WANANCHI - DKT. VINCENT MASHINJI Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Dkt. Vincent Mashinji amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeendelea kuunga mkono jitihada za Baba wa...
  17. Nitajie actors watano ambao lazima ushawishike kutazama filamu aliyoigiza

    1: Matthew McConaughey 2: Denzel Washington: 3: Christian Bale: 4: Jim Carrey: 5: Tom Cruise:
  18. Namna filamu zinavyotumika kufundisha Jamii kuhusu Matatizo na Ugonjwa.

    Habarini Wanajukwaana na Watanganyika wenzangu kwa ujumla! Ni wakati mwingine kama mmoja wa mwanamaendeleo katika jamii yangu kuleta mjadala mpana kuhusu mambo kadha wa kadha yanayoikumba jamii ya Watanganyika. Ni wazi kuwa filamu ni moja ya sehemu muhimu sana ya Maisha ya jamii ya sasa, kupitia...
  19. Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

    Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani. Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani...
  20. Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema. “Ngema alifariki katika ajali mbaya ya gari alipokuwa akirejea kutoka kwa mazishi aliyokuwa akihudhuria Lusikisiki huko Eastern...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…