filamu

  1. NetMaster

    Endapo filamu za 18+ zikiruhusiwa kutengenezwa Tanzania, wimbi kubwa la kuaibisha makabila halitaepukika. Hili lisije tokea kabisa!

    Sipati picha kwamba itokee na haya mambo yapewe vibali kwamba filamu hizi zinaweza kutengenezwa kama ilivyo kwa nchi zingine, hali inaweza kuwa mbaya sana kikabila. Nadhani itakuwa ni next level na itaathiri jinsi watu watavyokuwa wakionekana kwenye fikra za watu wengine kwenye suala zima la 6...
  2. Teko Modise

    Mfahamu Jenny Joseph, Star wa logo ya Kampuni ya Filamu ya Columbia Pictures

    Wakati wa Majira ya Kiangazi mwaka 1991 huko nchini Marekani, Kampuni kongwe ya filamu ya Columbia Pictures iliyopo chini ya kampuni mama ya SONY ilikuwa imepata wazo la kubadilisha logo yake ya mwaka 1923 na kuweka mpya ili kujiongezea mvuto wa kibiashara. Basi akatafutwa mbunifu wa masuala ya...
  3. S

    Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

    Ni mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao. *Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa. *Tushaona mahindi yakioza huko Songea na Katavi. *Tushaona wakulima wa korosho wakiuza korosho kwa bei ya hasara ama...
  4. Suley2019

    Wazazi si kila filamu ya katuni inawafaa watoto, tuwe makini

    Salaam ndugu zangu, Katuni imekuwa ni michezo/ Filamu muhimu sana katika kusaidia malezi na kuwafariji watoto wetu. Baadhi ya katuni maarufu ni kama Tom and Jerry, Moana, Zootopia, Luca, Sing, Rango na nyinginezo. Ni kweli kwamba filamu nyingi za katuni zimeundwa kwa ajili ya watoto. Lakini...
  5. Teko Modise

    Kutana na Leonora Jacobs wa Filamu ya The Gods Must be Crazy II anayedai kuwa hakulipwa hata senti

    Leonora Jacobs enzi za utoto wake aliigiza filamu ya The gods must be crazy II. Staa huyo wa Namibia, amewashangaza wengi kwa kudai kuwa hajawahi kulipwa pesa wakati anaigiza filamu hiyo. Wakati akiigiza filamu hiyo ya mwaka 1989, alikuwa na miaka 6 tu. Kwasasa ana miaka 40 akiwa anafanya kazi...
  6. Undava King

    Ni ulimbukeni kuwazuia wasanii kutumia mavazi ya Polisi katika filamu zao

    Jana nilipata wasaha wa kutizama luninga na bahati nzuri nikabahatika kutupia jicho katika muvi zetu almaarufu Bongo movies, kusema ukweli vijana wanajitahidi na kufanya kila wawezalo kuweza kuifikisha sanaa yao mbali licha ya changamoto kibao. Baadhi ya changamoto kuu za kiwanda hiki ni; 1...
  7. Roving Journalist

    Kampuni ya mabasi DRC kuonesha Filamu ya The Royal Tour kwa Lugha ya Kifaransa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuonesha filamu hiyo kwa abiria wanaotumia mabasi yake. Waziri wa...
  8. LA7

    Kama ni kweli filamu zinalipa, kwanini Diamond asitengeneze movie?

    Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza, Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa. Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii...
  9. Intelligent businessman

    Filamu ya JOHN WICK 4, kuachiwa tarehe 24/3/2023

    Yeah unaweza sema the dangerous killer Mr keanu Reaves a.k.a John wick himself is back. Waandaaji wa filamu hii na duru za uhakika wameweka wazi kuwa baada ya kimya Cha muda mrefu, basi filamu ya John wick itaachiwa tarehe 24/3/2023. Moja ya vitu ambavyo vimeonyesha filamu hii itafanya...
  10. JanguKamaJangu

    Staa wa filamu Bruce Willis ana changamoto ya Afya ya Akili

    Familia imeweka wazi kuwa Staa huyo aliyetamba katika filamu nyingi zikiwemo Die Hard, The Sixth Sense na Armageddon anasumbuliwa na ugonjwa wa #FrontotemporalDementia unaomfanya kupoteza kumbukumbu na ufahamu wa mambo mengi. Imeeleza kinachomsumbua Willis (67) ni mwendelezo wa hali iliyomtokea...
  11. Thailand

    Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

    Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi. Imagine Diamond anaigiza movie kama hii; Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
  12. IamBrianLeeSnr

    Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (IFAD), Davos, Uswizi akutana na Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  13. kwisha

    Furaha Iko Wapi by 20% ndo filamu yangu bora ya Kitanzania

    Katika Maisha yangu nimeona bongo movie nzuri lakini sijawahi kuona filamu nzuri ya kitanzania zaidi ya furaha iko wapi by 20%.
  14. JanguKamaJangu

    Iran: Nyota wa filamu aliyeshikiliwa kwa kuunga mkono maandamano, achiwa huru

    Taraneh Alidoosti (38) alishikiliwa mwezi mmoja uliopita kutokana na kuungana na wanaopinga uwepo wa Sheria ya kuwataka Wanawake kutembea wakiwa na mavazi yaliyofunika vichwa vyao. Ameachiwa kwa dhamana kosa lake likiwa ni kuchapisha maudhui ya kuhamaisha uchochezi ambapo waigizaji wenzake...
  15. BARD AI

    Wewe ni mpenzi wa filamu za Superman? Henry Cavill hatoshiriki tena kwenye filamu hizo

    Muigizaji Henry Cavill ameondolewa kama Superman na mabosi wapya wa Studio za DC, chini ya miezi miwili baada ya kutangaza kurudi kwenye nafasi hiyo. "Nimekuwa na mkutano na James Gunn na Peter Safran na ni habari za kusikitisha, kila mtu. Baada ya yote, sitarudi kama Superman," amesema Cavill...
  16. Teknocrat

    Filamu ya Mapanki - Darwin's Nightmare

    Baada ya kuona Yule muuza silaha haramu nguli duniani Victor Bout ameachiwa na US, nikakumbuka ile docudrama ya Darwins Nightmare, filamu ya mapanki. Ikabidi niitafute upya niiangalie baada ya miaka zaidi ya kumi. Hivi wazee Mwanza , tupeni basi historia fupi ya kipindi kile, Mwanza...
  17. MakinikiA

    Waziri Makamba anaihujumu Royal Tour ya Rais Samia iliyotumia mabilioni

    Salama wandugu. Nianze tu kwa kifupi Royal tour msingi wake mkubwa ni kuvutia wawekezaji. Msingi wa mwekezaji namba moja ni nishati,sasa makamba anachofanya ni kumhujumu bosi wake umeme wake wa kwikwi usioeleweka. Wanafikiri wanawakomoa wananchi kumbe wanamkoa bosi wao. At the end of time...
  18. aka2030

    Tamthilia ya Siri ya mtungi (wahapahapa) ndio filamu bora kuwahi tokea Tz

    Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi. Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
  19. BARD AI

    Filamu ya Kitanzania yatajwa kuwania Tuzo ya Oscar, ni ya pili tangu mwaka 2002

    Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo. Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha "Mapambano Makali" kwa Kiswahili - imeorodheshwa katika kitengo cha "Filamu Bora ya Kimataifa" katika Tuzo...
  20. JanguKamaJangu

    Filamu ya “The Royal Tour” iliyotafsiriwa Kijapan yazinduliwa Japan

    Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour" Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua...
Back
Top Bottom