foleni za dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watu wa magari binafsi jijini Dar amkeni mapema. Mnakera sana mida ya asubuhi

    Usiombe uwe unatokea Posta unakuja Bunju asubuhi kuanzia saa moja yaani magari binafsi yanaendeshwa hovyo (utadhani wahusika wamevuta msuba kidogo) lakini pia wanapita njia zote kana kwamba nyie mnaotokea mjini hamna haki ya kutumia barabara. Si muwe mnaamka mapema!? Mnakera kinoma!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…