Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke
SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha!
2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze na morogoro!
Anayetoka mikoani kuja Dar ataingia Moro au chalinze kupitia njia hiyo ya SGR NA SIO KUPITA MOROGORO ROAD
3. Mabasi yaruhusiwe kuwa na stendi zao ila LAZIMA yaingie stendi ya Magufuli na ya Mbagala ndio yaende yanakoenda
Tuache sifa za kijinga kulipisha faini watu Kwa uzembe wenu kama SERIKALI!